Sorry ladies its Drogba again! endeleeni kukata viuno
...nakwambia, walau Day 3 ya Ryder Cup imetupa "Tiger's Touch!" ila wa uropa wamepata msemo kweli leo mpaka wanaboa!
Sasa nageuzia macho na masikio Commonwealth Games, EPL inaendelea tu mpaka May wala hamnipi shida msiotutakia kheri washika bunduki.
...ha ha ha, unaona sasa? haya bana.
Jana nilitune sky sports (Arsenal Vs Chelsea) kwa dakika mbili tatu kuangalia update tu,
halafu jamaa zangu wengi supporters wa Arsenal nao jana hawakuangalia game hiyo.
This is disgusting na majibishano mengine yote ya matusi kwenye jukwaa la spoti. P'se grow up and let sport be sport!!..kama ni personal issues, do the needful kwa ignore list!
Nakuelewesha mpaka uelewe..Mbona unajihisi na maelezo mirefuuu?
Mkuu njoo na Special thread ya ROSSONERI MILAN,timu yenye heshima yake.Nashangaa kwa nini Gang Chomba hakumbuki hii kitu..!Nakuelewesha mpaka uelewe..
Sforza Ancelloti.
Whatever happened to Arsene Wenger's clarion call 'Time to Deliver'!
Nakuelewesha mpaka uelewe..
Sforza Ancelloti.
This is disgusting na majibishano mengine yote ya matusi kwenye jukwaa la spoti. P'se grow up and let sport be sport!!..kama ni personal issues, do the needful kwa ignore list!
Wilshere na Chamakh wanakosa bao la wazi.......
Bora regular football imerudi maana dah wengine tulishaanza kwenda kujibishana na kina mjengwa uko kwenye jukwaa la siasa. Leo watani mechi yenu siiangalii. nitakuwa nachungulia chungulia kuwajulia hali.Ndio kawaida yetu mkuu.
Tuko pamoja kila la kheri.
Bora regular football imerudi maana dah wengine tulishaanza kwenda kujibishana na kina mjengwa uko kwenye jukwaa la siasa. Leo watani mechi yenu siiangalii. nitakuwa nachungulia chungulia kuwajulia hali.

Tulitakiwa tuwe kama 5 - 0 Berbatov kakosa nafasi kadhaa za wazi. Nachungulia kupitia kwenye hii thread yenu.sawa sawa .utachunguliaje game yetu wakati naona unatoa dozi ESPN 2 lol.