Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
Mkuu Odemwinge ni quality kushinda Drogba, Drogba ni box man na an nguvu ila ameanza kukaa kwenye namba sio ya 30, kwa upande wa Ode yeye ni sawa na Anelka, anaweza kucheza right. left ama lone striker, japo sio jibaba lakini ana nguvu, anafunga mguu wa kulia, kushoto hata kwa kichwa, na anatumia akili sana, pia ana uwezo mkubwa wa kuzuia mpira wanaposhambulia.
Kumbe Chelsick wanafahamu wapinzani wao ni nani. Walikuwa wamelowa kama kuku aliyenyeshewa na mvua lakini baada ya mechi ya Emirates naona wamefufuka. Sasa kukata mzizi wa fitna mambo yote Darajani Jamapili ... .... ..... ongezeni bei ya sangwejes tu maana hamna fweza ... ... sisi tutalipa tu ili kuwaokoa na ukata.
Utabiri huu ni sawa na kudai Hashim Rungwe atakuwa Rais wa tano wa Tanzania!:glasses-nerdy:
Hapa niliongea kuhusu staili ya uchezaji Odemwinge ni all round player he can come inside, show great strength, play as lone striker, at left/right wakati Drogba yeye ni more suited and effective in the box only.Duh yani weye ushamuona Anelka mali? Walahi weye kipofu!
Mbu, AW mpo?!!..Wacha1 hata nguvu ya kuweka pics sijui kama unayo🙂poleni
...yaani kungekuwa kunauwezekano, basi siku ya leo ningeifanya 'ajua!...'
Hata furaha ya kufungwa kwa Chelsea haijaisha Arsenal wameniharibia tena siku yangu.
aaarrghhh!!!
Anyway, tutange yajayo...kilio cha wengi harusi...si Chelsea wala Spurs anayecheka leo!
Usiku mwema.
Mkubwa mimi naona mna matatizo mengi ,kwanza golikipa bomu,defence yenu pia ina matatizo siku hizi Sagna &Clichy nao hamna kitu sijapata chance ya kuwaona hao wafaransa wapya.Viungo umeshasema mwenyewe tatizo lingine washambuliaji wenu wanakosa sana magoliTatizo letu ni viungo, nilishangaa Wenger aliamua kuanza na 4-4-2 halafu eti Diaby, Eboue na Song wote wameanza? huwezi kuanza na Diaby na Eboue kama unataka ushindi, aliwadharau West Brom, Diaby, Eboue na Song wanapoteza pasi hovyo na hawakawii kupigisha free-kick, ni too risky kuwaweka kwenye same line-up.
Sagna nae alikuwa bomu, Huyu Almunia tumeshamzowea, ingawa aliokoa penalti amefungwa magoli ya kizembe, yote haya ni Wenger dunia nzima ilimwambia asajili kipa na muda alikuwa nao tosha, hela alikuwa nayo, Wenger amelosti plot kiaina.
Hehehe kumbe washabiki wa CSKA London wakifungwa na ustaarabu nao unarushwa dirishani.
hahahhahahaha!! kumbe mnajua timu yenu inakwenda kibahati bahati. Sasa kelele za nini kwamba mtakuwa mabingwa?timu ikiwa inabahatisha bahatisha noma sana,wameenda kuniaribia furaha ya chelsea kufungwa yote.
Hehehe kumbe washabiki wa CSKA London wakifungwa na ustaarabu nao unarushwa dirishani.
Hapa niliongea kuhusu staili ya uchezaji Odemwinge ni all round player he can come inside, show great strength, play as lone striker, at left/right wakati Drogba yeye ni more suited and effective in the box only.
BTW Anelka ni kwamba amezeeka lakini yes ni mali na ndio maana ulimuona akicheza vilabu vikubwa kama Madrid, Arsenal, Liverpool na Chelsea, ama hawa mameneja waliomnunua nao ni vipofu?
Mmmh, hii kauli si nzuri hata kidogo,kama ambavyo timu inashinda kwa style hiyo ukafurahi,basi siku nyingine mambo hugeuka,usisahau pia kuwapongeza wapinzani wako kwa vile nao walicheza vizurisisi tumelala tu tunalzimisha pasi za kwenye box kila siku .au wachezaji wetu wana kalili sana kama mfumo wa elimu wa tanzania? mtu unashindwaje kusoma game?
Mmmh, hii kauli si nzuri hata kidogo,kama ambavyo timu inashinda kwa style hiyo ukafurahi,basi siku nyingine mambo hugeuka,usisahau pia kuwapongeza wapinzani wako kwa vile nao walicheza vizuri
nani kasema tutakuwa mabingwa? kuna timu inajua kama watakuwa mabingwa? ligi ndeeeeeeeeeeeeeeefu mwaka huu lol.hahahhahahaha!! kumbe mnajua timu yenu inakwenda kibahati bahati. Sasa kelele za nini kwamba mtakuwa mabingwa?
..
Wakati umefika kwa Diaby kuchezea Reserves sasa, bora hata ya Denilson!
we acha mkuu,french connection ina tu-cost saa nyingine.
Ila ujue kuna timu zipo kwa ajili ya kuharibu tu,wanakuwa wazuri sana kwa ajili ya mechi moja tu,zingine ovyo,hapo ndo utalaumu kuwa hamkuwa vizuri kumbe watu wamekamia.hapana mkuu,huu uzemebe wachezaji huwa wanafanya sana,tunakosaplan b miaka nenda rudi hii game kama kweli tuko tunataka kombe haikuwa ya kupoteza.kila kitu chetu kilikua kibovu.