Una litimu la hovyo hovyo tu kazi kujitoa ufahamu tu Liverpool tumepiga kazi misimu miwili mfululizo hatujabeba kitu ujerumani ubebe wewe mwenye timu kama kikundi cha wauza matikiti wa Yombo Buza.
Arsenal tuna gundu Ulaya.. Wiki iliyopita niliota tumefungwa goli 6,ndoto inaweza kutimia. Na wiki itazidi kuwa mbaya Sababu Spurs watawafunga Liverpool 2-1.