Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hilo jina la mji wa fainali ukilisoma kwa uoga (woga )linaleta maana nyingine tena mbaya.
 
Tuseme ukweli Arsenal was overrated.
Actually asernal wametualibia final walikuwa dhaifu mno oo sis Chelsea uwa tunacheza finals za kibabe
Chelsea vs mancity -carabao

Chelsea vs man u - Fa

Chelsea vs Tottenham -carling

Chelsea vs benifica -Europa

Chelsea vs Bayermunich -UCL

Chelsea vs Man u - UCL

Hiz baadhi ya finals ambazo walipiga mpira wa kibabe japo baadhi walipoteza kwa mbinde sana

Asernal mlikuwa dhaifu sana
 
Leno angeliwa kipindi cha Kwanza michomo ya Emerson miwili ilikuwa imo DOF wa Chelsea kawabeba sana haikuwa na namna ,ilikuwa europa sio FA, FA mnaweza shinda kombe hili ni zito kwenu
Unai naye mshenzi tu. Czech alishaagwa pamoja na Ramsey na tunaambiwa anakwenda Chelsea kuwa mkurugenzi wa michezo. Unamchezesha wa nini????. Hovyo kabisa
[/QUOTE
 
Mambo yaliendaje mkuu
 
Hii timu pasua kichwa...kocha na wachezaji hawajitambui...pukuja yote.
 
Tofauti ni kwamba arsenal wana kocha mzoefu wa Europa, lakini wana wachezaji wa mchangani Auba, Laccazete..wakati Chelsea wana world classic players na kocha ambaye hadi jana mchana alikuwa hajashinda kombe lolote lile.

Sasa wamekutanishwa WCP na wachezaji wa mchangani unategemea nini apo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…