Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Haya Emery mm sikuwezi
Leo umetujia na 4-2-2-2
Leo umetujia na 4-2-2-2
Njoo leta msimamo tena ,,maana una kiherehere sana ,Shushaaa wajinga wajinga haoooo [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1088916
EPL hakuna kitu kama hicho,umeona manyua alichofanywaBahati moja ya arsenal Leo ni kwamba Brighton hana cha kupoteza kwa kuwa hashuki daraja
Anayeongoza ana ngapiAubaaaa 20 goals
22 salahAnayeongoza ana ngapi