Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Timu imecheza chini ya kiwango
@LTorreira34 
Nafikiri timu haijacheza kwa tempo kubwa kutokana na game ya Napoli tunayoenda Italy.Kiwango cha tomu yetu kiko chini sana, hadi kuangalia ni hasira
Upo sahihi ,ndio maana ramsey ,lt11, wametolewa mapema kwa ajiri ya NapoliNafikiri timu haijacheza kwa tempo kubwa kutokana na game ya Napoli tunayoenda Italy.
Ni kawaida unapokua na game kubwa mbeleni kucheza kwa tahadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa game za away tunashukuru maana tulikamiwa sana,Hongereni kwa ushindi mwembamba.




https://t.co/FBc4doyGi8Kwa game za away tunashukuru maana tulikamiwa sana,
Sasa tot na man u lazima wakaze kwa man city kama wanataka UCL mwakani, ili wewe ubebe EPL ,
Yohana 3:16
Wewe ndezi upo mtaa wa ngapi leo?
Ulifanikiwa kuonesha mpira?Mkuu unachosema ni kweli pengine karibia nusu ya kikosi ni cha pili ndio uka define nina timu mbovu sana. Njoo Anfield leo nikuoneshe mpira mbovu.
Sent using Jamii Forums mobile app
️
https://t.co/9P4GVibh5r