Acha tu ndugu yangu. Yaani na makelele ya kutoshaKama nawaona vile mtakavyowpa support Man U kwenye hiyo gem na Chelsea.....
Acha tu ndugu yangu. Yaani na makelele ya kutoshaKama nawaona vile mtakavyowpa support Man U kwenye hiyo gem na Chelsea.....
Atakua kajinyonga huyo AROON haaaahaaaa
Yule jamaa mwenye mdomo mrefu yuko wapi? Au Wolves wameukata?😂😂😂
Wolves Wolves saivi tutaelewana. Naomba nipe ile fixture yenu tena..Hahahaha bado kazi ipo mzee
Nyinyi mna Manyumbu nawaombea mfe ili nipete. Hii gem bado mbichiWolves Wolves saivi tutaelewana. Naomba nipe ile fixture yenu tena..
Hahaha Piga mbuzi nyie...
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Wachezaji sio walewale Xhaka na Ramsey umewaona lini mara ya Mwisho?Arsenal miyeyusho kweli, yani gem za nyumbani tulikua wapil kwny msimamo b4 gem ya juz na palace, gem za ugenini sijui tulikua nafasi ya kumi huko..
Shida nini timu zilezile wachezaji walewale, au magoli ya ugenini ni madogo hatuwezi kufunga.
Mi naongelea ubovu wa arsenal kwenye mechi za ugenini, performance mbya ya arsenal ugenini haijaanza msimu huu, na ndio imekua tatizo kwa arsenal kutoingia top 4 ,angekuepo xhaka, angekuwepo nani ugenini kupata matokeo n kwa mbinde, jiulize kwanini arsenal yupo karibu nafasi ya 10 kwenye table ya away?... kwani xhaka na ramsey hawajacheza msimu mzima.?Wachezaji sio walewale Xhaka na Ramsey umewaona lini mara ya Mwisho?
Wolves Wolves saivi tutaelewana. Naomba nipe ile fixture yenu tena..Hahahaha bado kazi ipo mzee
Labda uende ndotoniKama kawaida yang napita chungulia kwa majirani poleni sana
Kwa heshima na taadhima naomba manure na arsenal mbovu mkubali Mimi the blues naenda uefa.
Labda uende ndotoni
Utamuuzia nani hayo makapi?Haya mafala inabidi yauzwe yote
Kwa timu zilizo kuanzia namba 1 mpaka 6 EPL ni Man Cit tu ndie ana uhakika wa first XI yake wengine wote hamna kitu. Timu zilizobaki zinabadilisha mno formation kiasi wachezaji hucheza kama hawajuani vile.Mi naongelea ubovu wa arsenal kwenye mechi za ugenini, performance mbya ya arsenal ugenini haijaanza msimu huu, na ndio imekua tatizo kwa arsenal kutoingia top 4 ,angekuepo xhaka, angekuwepo nani ugenini kupata matokeo n kwa mbinde, jiulize kwanini arsenal yupo karibu nafasi ya 10 kwenye table ya away?... kwani xhaka na ramsey hawajacheza msimu mzima.?
Haina shidaMkuu si bado mechi tatu hii comment yako itakuwa evidence uone
Uefa arsenal haendi na manure haendi.