OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Apo ulipo wewe ndo utoki tena..Nafasi ya ngapi?
Apo ulipo wewe ndo utoki tena..Nafasi ya ngapi?
Wewe tulia wewe ..jiandae na Europa tuuNaona kweli mmeshinda 5-0
Ulikuwa unaropoka ila ukasahau golini una pazia
Bana mbuzi hawaApo ulipo wewe ndo utoki tena..
Mpira niliompigia Burnley nikikutana na yeyote anakufa nyingi sana..Vip nafas ya 3, imekuwaje wewe kilomolomo,ulisahau kuwa golin una pazia LA paun mil 71
Acha kumsingizia Mustafi ..pale golini una shati tena oversize..Nadhan umeona pazia kepa ,kila ikipigwa IMO, mtamlaumu zari mafegi, na kipa mbovu,
Kama sisi ,kipa yupo vzr, ila mustafi fala
tulia dawa ikuingieSasa Burnley utamueza wakati Crystal Palace watoto wa malikia umewashindwa?
Burney Jana ilikuwaje, ulidai nafas ya 3 ni yako unashinda 5,Sasa Burnley utamueza wakati Crystal Palace watoto wa malikia umewashindwa?
Pazia linajulikana limenunuliwa paun mil 71, Jana Burney wamepiga on target 2 tu, unajua walipata magoli mangapi?Acha kumsingizia Mustafi ..pale golini una shati tena oversize..
mpira....mpira....vp kuhusu tokeo....au mpira ndo utakuingiza top 4...Wewe kwenye gemu zako zilizobaki una uwakika wa point tano tu..
Mimi anayefata ana khabari zangu.
Umeona mpira niliopiga jana?
Burney alikufa ngapi sasa,Mpira niliompigia Burnley nikikutana na yeyote anakufa nyingi sana..
Hahaaa uzuri najua utajipiga ban ya mwaka,ukweli unaujua nafas ya 5 ni ya chelwowoWewe tulia wewe ..jiandae na Europa tuu
Huo mpira uliopiga ulivuna point ngapi?Wewe kwenye gemu zako zilizobaki una uwakika wa point tano tu..
Mimi anayefata ana khabari zangu.
Umeona mpira niliopiga jana?
Hahaaa bado unapayuka, subir uone kesho ,point 3 clear tunabeba ,halafu manyumbu kesho anabondwa, hivo hawez kupigwa mech tatu mfululizo,Wewe tulia ivyo ivyo ..Wolves atanikalishia nyie ..wakati sisi manure tunamla nying sana ..point tatu zingine unaenda kudondosha..
Jana mkishinda ngapi? Maana kila unachotabiri kinaenda mlamaJumatano kipigo kingine kinakujaa...
Wewe Burney umemuweza? Kwako kakutoa kamasi, wamepiga mashut mawili yote yameingia golini, kisa mna paziaSasa Burnley utamueza wakati Crystal Palace watoto wa malikia umewashindwa?
Tano ziko pale pale ..anaeza pigwa ata manure..Burney Jana ilikuwaje, ulidai nafas ya 3 ni yako unashinda 5,
Zilifika ngapi
Hawa mamluki ndo unategemea wakupeleke top four hahahahahaha ..hichi kitimu kwel kimejaa vichekesho ...INJURY REPORT
-
Granit Xhaka:
Hip Injury- Being assessed ahead of Wednesday’s match at Wolves.
-
Aaron Ramsey:
Left hamstring - Continuing to receive treatment and further assessment. Will miss Wednesday’s match vs Wolves.
-
Denis Suarez:
Groin Injury - Still receiving treatment and in need of further assessment. Will miss Wednesday’s match vs Wolves.
-
Bellerin:
Started Rehabilitation process and slowly starting his own recovery process.
-
Welbeck:
Started Rehabilitation process and slowly starting his own recovery process.
-
Holding:
Started Rehabilitation process and slowly starting his own recovery process.
-
[Arsenal.com]View attachment 1079422
Kweny mpira kuna bahat hutokeaga ..Burnley jana ni bahati tuWewe Burney umemuweza? Kwako kakutoa kamasi, wamepiga mashut mawili yote yameingia golini, kisa mna pazia