Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,725
- 3,516
Wamelenga 4 wamepata 3. Hiyo moja waliyokosa pazia lenu limebahatisha tu au mabeki wameokoa.
Wapi wanakodisha viti maana mgonjwa kafanya donation ya moyo na figo 2 hatutegemei kupona, pia tunahitaji mziki mkubwa sana marehemu mtarajiwa anapenda tarabu
Alisumbuaaa sanaa ile gemu yetu ya Burnley hahahahahaha
Huyu mpiga domo Aroon yuko wapi.?
Arsenal Manchester United na Chelsea hawajapata mshindani ndo maana bado nafasi ya 4 wanaweza kupita kati ya mmoja wapo hapo ila mfano kungekuwa na timu katika top 10 kama enzi za Leicester city hahahaha sijui ingekuwajeAlisikika mlevi mmoja wa arsenane akiropoka
Paziaaaa la ekaluuuu lileeee ..lishapasukaaaaa hahahahahahahaWameanza kukimbia uzi. Arooon njoo uchukue pazia lako huku
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahabababahahahahahahahahahahahahahahahahahHabahahahahahahahahahahahahahahahahahahahabahaaaaaaaaaaaaaA .......haaaAaaaaaaaaaaaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahaaaaaaaaaahahahahahahahabahaaaaaaaaaaaaaaa
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hahahahaha sisi Arsenal fans bado tunaipenda banaaaaHaya mafala inabidi yauzwe yote
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahabababahahahahahahahahahahahahahahahahahHabahahahahahahahahahahahahahahahahahahahabahaaaaaaaaaaaaaA .......haaaAaaaaaaaaaaaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahaaaaaaaaaahahahahahahahabahaaaaaaaaaaaaaaa
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
1. Mkuu ulishinda kagoli kamoja kwa shida sana ile mechi Watford walipewa red card mwanzoni mwa game.Bahat gan wakati Burney wamepiga on target mbili kwakuwa una pazia la gharama , zikazama zote
Bahati watu wamenyoosha mashuti kabisa. Pazia likashindwa kuzuia,
Sasa kweli ataweza kustahimili mziki WA laca xhaka boom huyo pazia?
Unakumbuka kombola alilopigiwa pale emirates na Lacazette?
Hahahahaha eti fainali ya Europa hahahaha ..mna fainali yenu niniRamsey wiki NNE ,atacheza game ya mwisho au fainal ya europa
Kweli tumeonaa mnaongoza..Kocha akiacha ujinga wake wa kupanga kikosi kibovu leo Wolves wanakufa mapema tu.
HahahahahaaaaaAkicheza Guendouzi, Elnen na Mustafi hii game itakua ngumu.
Ikatokea naulizwa nitasema ni bora Mustafi awepo ila hao wawili wasiwepo.