Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

saka kiwango kimeshuka.. sio yule wa misimu miwili.. mitatu nyuma so kuendelea kumtegmea yeye ule upande ni mbaya sn kwa timu

declan nae ni uchovu ,amekuwa na kazi ngumu mno tangia partey aondke.
 
Tumeshinda

Alipoingia Viktor, Timber na Bruno mtangazaji alisema sasa Arsenal inacheza kwa intensity.

Why? Kai anacheza kama false 9. Box la mpinzani halina mtu muda mwingi. Ni idea nzuri kama timu inamiliki mpira na pattern haiingiliwi.

Viktor akiingia anabaki eneo la mpinzani halafu defense hairelax tena.

Team played better baada ya huyu mtu. Hata Bruno goli alilopata ni kwakua defense yote ilimkimbilia Victor ikaacha gap.

Fools won't see this
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom