Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Currently nipo no tano, ila nafasi khalisi ya Chelsea ni ya tatu..
Wewe unaropokaga sana, nafas yako nilishakwambia ni ya 5, umeona Burney walivyokuvuta shati, sasa jtano hatulazi damu, tunarud nafas yetu,wewe na nyumbu nafas zenu ni 5&6
 
Emery anafanya njia ya kwenda UEFA next season kuwa ngumu.spurs na Chelsea wanatoa miiba njiani yy anarudisha halaf anataka kupita.nawaona mbwa mwitu next match akitupeleka nafasi ya 6.
 
Emery anafanya njia ya kwenda UEFA next season kuwa ngumu.spurs na Chelsea wanatoa miiba njiani yy anarudisha halaf anataka kupita.nawaona mbwa mwitu next match akitupeleka nafasi ya 6.
Hawez kupanga kikos cha ovyo jumatano kwa reaction ya mashabik mtandaon,halafu sokratis karejea,

Tunahitaji kushinda mech 2 mfululizo ,kabla hatujamalizia mech moja ya emirates ambayo cheltako wala nyumbu hawez kutufikia,

Tungeshinda Jana tulikuwa tunahitaji point 4 tu,

Amin nakwambia game ya wolves tunashinda , hawez kurudia upuuz wake wakupanga kikos kibovu,
 
huyu Unai huyu analo analolitafuta,haiwezekani game ambazo ni lazma kushinda yeye anatengeneza mazingira ya kuzipoteza na hatimaye anapoteza kweli ,hivi kweli ile game ya palace ya kutuwekea viungo legelege wale?anaacha kutuwekea watu wa kazi anaeka elneny na gue?daaaaaaah

disappointed
 
Kesho tunashindaa haooo tunakuachia manyoya ..sisi kwa sasa haturopoki ovyo ovyo ...ya tatu tunaikamata ndo bas tena ..maana Spurs atakadha kwenye nafasi ya NNE..

Wewe endelea kujenga kikosi cha Europa cha msimu ujao.....
hiloooo
 
Raymond Parlour "RomfordPele" katema fact tupu hapa

Parlour: "The team selection was very strange. They’d come off the Napoli win & you’re thinking, ‘lets kick on now, there’s only 4 games left, play your strongest team’, but he didnt. There were a few mistakes from (Emery) but you cant knock him because he’s done a wonderful job"
 
Gabriel Martinelli is set to join Arsenal as an agreement has been reached.

[UOL] #AFC

Hawez kupanga kikos cha ovyo jumatano kwa reaction ya mashabik mtandaon,halafu sokratis karejea,

Tunahitaji kushinda mech 2 mfululizo ,kabla hatujamalizia mech moja ya emirates ambayo cheltako wala nyumbu hawez kutufikia,

Tungeshinda Jana tulikuwa tunahitaji point 4 tu,

Amin nakwambia game ya wolves tunashinda , hawez kurudia upuuz wake wakupanga kikos kibovu,
Wewe kwenye gemu zako zilizobaki una uwakika wa point tano tu..

Mimi anayefata ana khabari zangu.

Umeona mpira niliopiga jana?
 
Back
Top Bottom