Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Talks of Gabriel Martinelli a 17-year-old Brazilian forward who plays for Campeonato Paulists. Reports he will sign for Arsenal this summer for €5m to €10m. Arsenal scouts have been watching the player they see him as a future star. #afc https://t.co/qFpS0Z5Cn9
IMG_20190422_114542.jpeg
 
AROON mzee baba nimekuja kukupa pole nyumbani kwako mfiwa..

Ila nasikia kifo cha jana kilianzia hapa..
IMG-20190422-WA0007.jpeg
 
Talks of Gabriel Martinelli a 17-year-old Brazilian forward who plays for Campeonato Paulists. Reports he will sign for Arsenal this summer for €5m to €10m. Arsenal scouts have been watching the player they see him as a future star. #afc https://t.co/qFpS0Z5Cn9View attachment 1078040
Hawa wachezaji wa paund mil 5 ndo mnategemea mje msumbue nao kweny EPL hahahaha ...kwel nyie bado timu ndogo..
 
Hawa wachezaji wa paund mil 5 ndo mnategemea mje msumbue nao kweny EPL hahahaha ...kwel nyie bado timu ndogo..
Cheltako ni timu ndogo sana hapo London, ni level za Fulham

Wewe hata Everton makombe humkuti, inakuwaje unajifananisha na arsenal?
 
Aroon uko wapi jamaa yangu. Umeona pazia lako unalolifananisha na Kepa kila siku.
Ndugu na wewe akili hamnazo, kuna goli gani Leno kufungwa la kijinga Jana?au umesimuliwa Mpira, kepa anatunguliwa magoli ya mbali kila wikiendi, Jana Leno kufungwa kwa upuuzi wa mustafi magoli mawili.,hata emery kalizungumza hilo
 
Hahahahahahahahah mna utani na mpira sana nyie watu
Ndio tatizo lakutojua Mpira, huyo dogo under 18, ananunuliwa kwa ajiri ya baadae ,

Yaani wewe liver umeshaanza kelele hata ubingwa bado, kwa mdomo wenu bora EPL, abebe city, na hata manyumbu wameahidi hivo kuliko nyie vilomolomo
 
Ndugu na wewe akili hamnazo, kuna goli gani Leno kufungwa la kijinga Jana?au umesimuliwa Mpira, kepa anatunguliwa magoli ya mbali kila wikiendi, Jana Leno kufungwa kwa upuuzi wa mustafi magoli mawili.,hata emery kalizungumza hilo
Mzee naona ume panic kupita kiasi. Yaliyotokea jana yanatokea popote pale na usishangae hata mimi leo ikatokea kwangu japo usitegemee hilo.

So relax man, leno still an average goalkeeper.
 
Back
Top Bottom