Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165
Man relax..
Wewe cheltako una uhakika upi, subir may tuone nan atakaa top 4
Wewe cheltako una uhakika upi, subir may tuone nan atakaa top 4
Acha kubwabwaja, wakati cheltako mnalitimu libovu, umesahau ulipopigwa 2-0 umejificha wiki nzima,Leo unapiga kelele utadhan hata nafas ya 4 utaingiaKwa iyo assanal isipotimiaga ndo inapondwa kipigo cha mbwa koko..
Ok jumatano mtatimia ila za uso mtachezea tu...
Nawauliza kwa cheltako hii MNA uhakika hata wa top4? Au mnabwabwaja tuMan relax..
Kepa ana clean sheet 13, ana saves 75.Hiv kepa yule pazia anayefungwa magoli ya ajabu unamfananisha na Leno? Acha ushabiki maandazi wewe cheltako
Hahaha iyo nafasi ya tatu mpka Wenger anaondoka kaishia kuishika kama Mara mbili/tatu hivi. Ndo aje uyo mrangi unai aishike hahaha . kwa assanal hihi ya kuokoteza ..ni Mara kumi aishike manure lakin sio Wewe m'bangaizaji..Nafas ya 6 ni manyumbu, nafas ya 4 na 3 ni kati ya arsenal au Tottenham,namba 5 ni cheltako,weka kumbukumbu vzr
Kwani google hupajui mpaka nikuletee? Yaani unapayuka kabisa kepa ni kipa mzuri ? Huyu ambaye Slavia walikuwa wanaachia mashuti yanaingia?
Apo ndo wanapokwamaga hahaha.. Akileta nistue..
Wewe cheltako na litimu lako bovu ,utamaliza nafas ya 5 na Europa tukikukuta fainali unachezea maana una litimu bovu kabisaHahaha iyo nafasi ya tatu mpka Wenger anaondoka kaishia kuishika kama Mara mbili/tatu hivi. Ndo aje uyo mrangi unai aishike hahaha . kwa assanal hihi ya kuokoteza ..ni Mara kumi aishike manure lakin sio Wewe m'bangaizaji..
Si ndo kama jana walivyoachia Crystal Palace!! au umesahau mkuu..Kwani google hupajui mpaka nikuletee? Yaani unapayuka kabisa kepa ni kipa mzuri ? Huyu ambaye Slavia walikuwa wanaachia mashuti yanaingia?
Nakujibu kimpira sikujibu kishabiki.Nawauliza kwa cheltako hii MNA uhakika hata wa top4? Au mnabwabwaja tu
Hawezi kuleta huyu.Apo ndo wanapokwamaga hahaha.. Akileta nistue..
Huwez kufananisha anavyofungwa kepa pazia na Leno ,labda unaleta ushabiki, lakini muda ni wakati nzuri utawaumbua, hata jojino mlimsifia sana ,sasa hivi mnampondaSi ndo kama jana walivyoachia Crystal Palace!! au umesahau mkuu..
Watoto wa malkia wale..
Sasa wewe umejibu kimpira sio kishabiki kama huyo mwenzako,Akujibu kimpira sikujibu kishabiki.
Kulingana na ligi ilivyo kwa sasa kwa kuangalia mechi nilizobakiza pia na upana wa kikosi changu uhakika wa top 50/50 kwa sababu itategemea pia na matokeo ya timu nyingine.
Kwanini usilete save parentage zote hapa? Unatakiwa uelewe kepa bado ni matured bado ana safari ndefu, ndio maana Chelsea mnaruhusu magoli ya mbali ,kwakuwa bado hajawa stopper, Leno anaangushwa na beki kama mustafi , katika mechi 7 alizocheza sokratis na koscinenly kapata cleansheet 6.Hawezi kuleta huyu.
kwa iyo beki zenu zikikatika Leno Naye anapoteana siyo? Huoni De gea kuna kipndi beki za manure zilipotea ila yeye akaibeba timu ..the same kwa kepa pia, kweli nyie hamna kipa ..mna lipazia tu pale ..Kwanini usilete save parentage zote hapa? Unatakiwa uelewe kepa bado ni matured bado ana safari ndefu, ndio maana Chelsea mnaruhusu magoli ya mbali ,kwakuwa bado hajawa stopper, Leno anaangushwa na beki kama mustafi , katika mechi 7 alizocheza sokratis na koscinenly kapata cleansheet 6.
Hapa naongea kimpira ,kepa mtakuja kumuandama kama mnavyofanya kwa jojino
Jogihno atabaki kuwa kiungo bora ulaya..Kwanini usilete save parentage zote hapa? Unatakiwa uelewe kepa bado ni matured bado ana safari ndefu, ndio maana Chelsea mnaruhusu magoli ya mbali ,kwakuwa bado hajawa stopper, Leno anaangushwa na beki kama mustafi , katika mechi 7 alizocheza sokratis na koscinenly kapata cleansheet 6.
Hapa naongea kimpira ,kepa mtakuja kumuandama kama mnavyofanya kwa jojino
Lini kepa aliwabeba Chelsea? Leno beki zikipotea anaibeba sana timu labda hufatilii ndio maana unabwabwajakwa iyo beki zenu zikikatika Leno Naye anapoteana siyo? Huoni De gea kuna kipndi beki za manure zilipotea ila yeye akaibeba timu ..the same kwa kepa pia, kweli nyie hamna kipa ..mna lipazia tu pale ..
Kipa ataonekana bora pale beki zinapo poteana..
Acha kuongea pumba ,ndio maana mkifungwa ,unajipiga ban wiki nzima,muda mwingine uwe unaongea uhalisiaJogihno atabaki kuwa kiungo bora ulaya..
Nadhani emery sasa kajifunza, kikosi cha kwanza anacho ,anataka kufanya rotation duhDuniani timu ni moja tu inaitwa Arsenal au ARSENAL zilizobaki ni vikundi vya taarab. Nashauri Cheltako wamsajili Isha Mashauzi kama kipa wao naona Kepa amezidi kua shati