Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ulifaa kujibu baada ya mechi ya napoli unajibu leo....unadhihirisha ukiazi....
Kwel mimi ni kiazi maana leo asubui tu nilimwambia AROON mna fixture ngumu na leo mtapoteza maan CP aez kubali kupigwa mara mbili na timu zote kubwa ..juzi kaliwa na City na leo kamla mtu tena kweny geto lake ..
 
Uzuri namba 5 na 6 ni za Chelsea na man u

Upangaji mbovu wa kikosi WA Leo sidhan kama utajirudia tena kwa mech zilizobak
Kesho tunashindaa haooo tunakuachia manyoya ..sisi kwa sasa haturopoki ovyo ovyo ...ya tatu tunaikamata ndo bas tena ..maana Spurs atakadha kwenye nafasi ya NNE..

Wewe endelea kujenga kikosi cha Europa cha msimu ujao.....
 
Kesho tunashindaa haooo tunakuachia manyoya ..sisi kwa sasa haturopoki ovyo ovyo ...ya tatu tunaikamata ndo bas tena ..maana Spurs atakadha kwenye nafasi ya NNE..

Wewe endelea kujenga kikosi cha Europa cha msimu ujao.....
Chelsea hana tatizo, lile ni km gari la mkaa trip shamba trip gereji
Atashinda kesho mechi ijayo anapigwa,battle inaendelea palepale
 
Daaah katika siku ambayo kocha amezingua ni leo. Unapangaje kikosi cha kipumbavu namna hii, analeta mambo ya ligue one kwenye EPL.
 
Matatizo yenu hayafanan na yetu

Wewe una timu mbovu ,hata first eleven huna

Mimi kocha kazingua toka unatoka lineup

Ambayo ikitokaga haponi MTU, ni ile iliyokunyoa 2-0
Sasa we jamaa kwani kocha wako leo kapanga wachezaji wa cardiff city?

Si ni wa arsenal kabisa?, kama ni wabovu , inamaanisha timu ni mbovu.

Mngekuwa na timu nzuri sasa hivi mgekuwa mnafukuzana na liverpool na Man city.

Spurs -67points -michezo 34
Arsenal-66points-michezo 34
Chelsea-66points- michezo 34
Man u -64points- michezo 34

Hizi timu nne zote viwango vyao vinapishana kidogo.
Kwangu mimi zote ni timu mbovu.
 
Back
Top Bottom