Sasa si unakutana na mbuzi wengine unajipigia tuIyo inatokeaga mkuu ..upepo wa ligi umetuendea vibaya ..ila Europa sijapoteza gemu hata moja, mpaka fainali sipotezi..
Sasa si unakutana na mbuzi wengine unajipigia tuIyo inatokeaga mkuu ..upepo wa ligi umetuendea vibaya ..ila Europa sijapoteza gemu hata moja, mpaka fainali sipotezi..
Unachotakiwa kujua ni kwamba gemu zote zilizobaki nashinda ..manure ninampiga pale pale kwake ..kama ndo gemu unayotegemea sahau kabisa ..sisi tuna imani na Wolves, hawatotuangusha..Unajidanganya maana mpira hujui
Michezi iliyobaki
3 Spurs anaweza kuongeza pts 8 = 67+8 = 75
4 Arsenal anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
5 Chelsea anaweza kuongeza pts 8 = 66+8 = 74
6 Man U anaweza kuongeza pts 6 = 64+6 = 70
Mechi yako na manyumbu, atakung'ang'ania kitakachotokea ,wote mtaenda Europa,
Halafu arsenal na tot wanaenda UCL,
EPL, bora abebe city maana wapo kama watatu tu humu jf, kama na nyie wazee wa ukameni mmeanza kelele, ndio maana man u kasema bora akacheze Europa kuliko kukusaidia ubingwa wewe, nimewaelewa sasaNaona pipa na mfuniko mko kwenye mabishano makali sana.
Ozil umemsahau?Sio natamani ni WCP tayari ..Hazard kabeba Europa, Uefa, EPL, FA, Belgium imefanya vizur WC kwa sababu yake ..Geroud kabeba World Cup, FA, na msim huu anabeba EUROPA, Kante ndo kabisa haitaji maelezo...Higuan kila mtu anajua alichofanya ...apo AssAnal nan kabeba makombe ya maana kaa hayo?
Kila siku unasema hivo hivo,mnapigwa, umesahau ya liver ,bona,wolves, ulisema hivo hivo ,cheltako akafaUnachotakiwa kujua ni kwamba gemu zote zilizobaki nashinda ..manure ninampiga pale pale kwake ..kama ndo gemu unayotegemea sahau kabisa ..sisi tuna imani na Wolves, hawatotuangusha..
wana maana sana ..leo tunashinda na gemu zote zilizobaki hatuna wa kutuzuia tena ...WCP wana maana gani sasa kama uko nafasi ya 5?
Unavyotamba, mkipigwa unajipiga ban wiki nzimawana maana sana ..leo tunashinda na gemu zote zilizobaki hatuna wa kutuzuia tena ...
Yaa Ozil pia ..ila timu anayocheza ndo tatizo..Ozil umemsahau?
Cheltako hana uwezo wa kushinda game mbili mfululizo, ukishinda Leo inayokuja kipigo,wana maana sana ..leo tunashinda na gemu zote zilizobaki hatuna wa kutuzuia tena ...
Kwa sasa tumeona makosa mnayofanya ..sisi tunayafanyia kazi ..shuhudia leo mtu anakunywa sio chini ya goli tanoKila siku unasema hivo hivo,mnapigwa, umesahau ya liver ,bona,wolves, ulisema hivo hivo ,cheltako akafa
Hahaha kutamba lazima ..ukiwa Chelsea hakuna kinachoshindikana...Unavyotamba, mkipigwa unajipiga ban wiki nzima
Ungekuwa unagombania ubingwa sasa,Kwa sasa tumeona makosa mnayofanya ..sisi tunayafanyia kazi ..shuhudia leo mtu anakunywa sio chini ya goli tano
Hamna timu yenye kikosi chembamba kama Liva.
Sasa unamuomba Man U amstopishe Citi ili wewe uchukue kombe, upo serious?
Mkisurvive msimu huu msimu ujao mtaanza kichovu na kinyonge mno.
Cheltako timu mbovu ,hii iliyopo nafas ya 5,Hahaha kutamba lazima ..ukiwa Chelsea hakuna kinachoshindikana...
Huo ni msimamo wako wewe ..sisi tunaojua hatutaki porojo nyingi ..nafasi yenu ya tano kila msimu huwa inajulikana..Cheltako hana uwezo wa kushinda game mbili mfululizo, ukishinda Leo inayokuja kipigo,
Msimamo utaisha hivi
Man city
Liver
Arsenal
Tot
Cheltako
Manyumbu
EPL, bora abebe city maana wapo kama watatu tu humu jf, kama na nyie wazee wa ukameni mmeanza kelele, ndio maana man u kasema bora akacheze Europa kuliko kukusaidia ubingwa wewe, nimewaelewa sasa
Sindio matumain mmeweka hapo,unadhan akipigwa man u, kuna wakumzuia city tenaHivi kwa hii Man Utd hata angesema atanisaidia ungekubali?
Endelea kuota hivyo ivyo ..sisi haoooo nafasi ya tatu...Cheltako timu mbovu ,hii iliyopo nafas ya 5,
Hata wiki iliyopita mlikaa kwa Masaa, na Leo utakaa kwa Masaa,Endelea kuota hivyo ivyo ..sisi haoooo nafasi ya tatu...