Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mustafi hajui mpira analazimisha fani, alafu kuna machezaji wenger sijui alikua anawaza nini kuyanunua.
 
Kocha anajitahid ila kuna michezaji ovyo inamuangusha

Nadhan Leo ndio mwisho mustafi kuendelea kuwepo arsenal ,

Hatuwez kuwa na defender mbovu kias hiki
Na kikosi kapanga kibovu sana,kocha ana sehemu yake ya kubeba lawama
 
Kwa alickokifanya Kocha leo ni uhaini kabisa ananikumbusha enzi za wenger timu kubwa zikifungwa na yeye anafungwa ni bora na yeye aondoke tu. Huyu hawezi kutuvusha hata kidogo. Anabahatisha ndio mana amesababisha Seven aondoke.
 
Kweli nimeamini

Halafu unai kashaambiwa na malegend kuhusu huo upuuz anaouweka kati haelewi

Mara ya pili hii wanatukost

Jumlisha na msenge mustafi
Mustafi nafikiri anatumia hirizi mpaka anapangwa pangwa.
 
Unai kalewa sana sifa bado tuna wolves Leicester city na wabishi Burnley Dah dah hii game ilikuwa ni must win tumepoteza kisenge senge namna hii
 
Kweli nimeamini

Halafu unai kashaambiwa na malegend kuhusu huo upuuz anaouweka kati haelewi

Mara ya pili hii wanatukost

Jumlisha na msenge mustafi
Kocha kama anaendelea kufanya makosa yale yale huyo atufai. Tatizo anajifanya anajua zaidi.
 
Ila timu yetu kutokuwa na winga ni tatizo kubwa sana kiasi kwamba watu wote ndani wanakuwa useless! I hope tupate winger 2 msimu ujao!
 
arseNYANI wanawasalimu kutoka Emirates Stadium
Screenshot_2019-04-21-19-59-21.jpeg
 
Bad selection imechangia

Ila hatuwez kuwa na michezaj type ya mustafi
Nilikuambia kuwa selection siooooo....dadeq jamaa kaharibu nyumbani, unadhani kwa wolves tutatoka!!!
 
Back
Top Bottom