Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
COYGs!!
Arsenal jana walicheza mchezo ambao twaita upper level.
Kocha Unai Emery aliamua kutumia mtindo wa 3-4-1-2 ambao mara nyingi Arsenal hutumia kwenye mechi za nyumbani.
Ni mtindo ambao Lacazette na Aubameyang huwa mbele huku Aaron Ramsey akicheza nyuma yao kusaidia mashambulizi.
Na baada ya hapo mechi na Crystal Palace jumapili ilikuwa kichwani mwa Emery ambae aliaua kumtoa Lacazette ili kumpa nafasi ya kupumzika.
Hivyo baada ya Ramsey kuumia basi jumapili tutegemee timu ileile iloifunga Napoli isipokuwa Henrikh Mkhitaryan ambae ataziba nafasi yake.
Barabara ya kwenda kwenye fainali mjini Baku hapo tarehe 29 mwezi May yaonekana si ngumu sana kupitika.
COYGs!!!