Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
kazeni japo hata sare itasaidia
Hata Mimi nashangaaKwani angepanga kikosi kilichocheza na Napoli tungepungukiwa nini
Yan ligi iishe bhana presha kila kukichaLigi iishe tuuze hii kina mustafi na neny
Wanawaangusha wenzao
Kikosi chote! Leo kwa arsenal mchezaji alikuwa ni lacazzette pekee. Alikuwa anacheza hadi beki na anaonekana ni bora zaidi ya mustafi na wenzake.Mustafi kubabake anazingua![]()
Kocha anajitahid ila kuna michezaji ovyo inamuangushaYan ligi iishe bhana presha kila kukicha
Simuelewi kabisa huyu Unai hapa. Unapangaje mizigo karibu sita na utegemee ushindi? Yaani hadi rekodi ya nyumbani imechafuka sababu ya ujinga tu.Kwani angepanga kikosi kilichocheza na Napoli tungepungukiwa nini
Nyie mmegongwa 4 mtungiMmetolewa kamasi mara 3 nyumbani