Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

*Nimetambua kwanini Timu ikishinda sifa zinaenda kwa wachezaji na ikiharibu mzigo anaubeba kocha.*

Nilikuwa najiuliza' hivi huwa inakuwaje mtu anajiuwa!!? Leo nimeona Unai anajiuwa wazi mara baada ya kuona kikosi.

Nilidhani ni majaribio tu wala sio kikosi rasmi.

Duh' yaani kuwazodoa kote watu wa Man u' kumbe Unai anatuchora tu.
Mkuu inawezekana Unai naye ana bet -Sportpesa ndio mana amesababisha tufungwe.
 
Chambers anatolewa mkopo wanamwacha mtu ambaye hana msaada ndani ya muda wake wote pale Arsenal, hajiamini akikutana na watu wenye manjonjo km Zaha basi ye anachanganyikiwa utadhani dem kaona sharobaro
Chembers na Holding ni mabeki bora sana,nami nilishangazwa sana chembers kutolewa kwa mkopo
 
Kweli nimeamini

Halafu unai kashaambiwa na malegend kuhusu huo upuuz anaouweka kati haelewi

Mara ya pili hii wanatukost

Jumlisha na msenge mustafi
Mkuu nilikuonya kule kwenye uzi wetu..nilikuambia "leo uko na Zaha&Co." Ukasema nyie mnapiga tuu.
 
Liverpool fan.
Unajua bora mfungwe kwa ubovu wa kikosi

Sio kwa sababu za kipuuzi

Wachezaji Wanapambana , Baadhi wanaharibu mechi ,

Inaumiza sana
Ila mechi ya leo ni upuuzi wa wachezaji,. Mustafi anahusika goli la pili openly (no discussion) its sad kwa kweli.Individually unaona timu haina passion inakosa desire goal", Wamecheza very ralexed even when they were 3-1.They were not pressing opponent high & hard.

Palace hawajacheza mpira mkubwa kama wa kawaida yao vs big teams,. ila lack of composure, commitment imecost team.Other wise ni kupambana na wakati kuwin top four battle.COYG.
 
Liverpool fan.Ila mechi ya leo ni upuuzi wa wachezaji,. Mustafi anahusika goli la pili openly (no discussion) its sad kwa kweli.Individually unaona timu haina passion inakosa desire goal", Wamecheza very ralexed even when they were 3-1.They were not pressing opponent high & hard.

Palace hawajacheza mpira mkubwa kama wa kawaida yao vs big teams,. ila lack of composure, commitment imecost team.Other wise ni kupambana na wakati kuwin top four battle.COYG.
Yaan mustafi ameniboa ,

Na kwa arsenal ya sasa hawez kubaki lazima aondolewe ,

Hatuwez kuwa na defender fala kama yule
 
Nasubiri kuwasikia kina TROOPS na DT wanasemaje ktk AFTV.
Unai Leo kazingua

Kikosi chetu tunakijua ukipanga hachomokagi MTU

Anatupangia jenko mwingereza fala,na muarabu kati

Yaani Unai Leo kaonesha udhaifu mkubwa sana

Halafu kuna li mustafi limeuza mechi ,watu wanapambana lenyewe linauza mechi
 
*Nimetambua kwanini Timu ikishinda sifa zinaenda kwa wachezaji na ikiharibu mzigo anaubeba kocha.*

Nilikuwa najiuliza' hivi huwa inakuwaje mtu anajiuwa!!? Leo nimeona Unai anajiuwa wazi mara baada ya kuona kikosi.

Nilidhani ni majaribio tu wala sio kikosi rasmi.

Duh' yaani kuwazodoa kote watu wa Man u' kumbe Unai anatuchora tu.
ajifunze hii ni epl.....palace aliyemtoa ulimi spurs unampangia kina mustafi,elneny kweli!!!!!!
 
Kikosi chetu cha ushindi tunakijua

Yeye anajifanya kupanga wapumbavu mech muhimu

Kikosi chetu kikotokaga tu tunajua ushindi lazima

Yeye anakuja na wapuuzi

LT11 anamuweka bench , Unai Leo umetuvua nguo
 
Wakati Everton wanatupa kibano hukujua Ole na wachezaji wake wanazingua?
Matatizo yenu hayafanan na yetu

Wewe una timu mbovu ,hata first eleven huna

Mimi kocha kazingua toka unatoka lineup

Ambayo ikitokaga haponi MTU, ni ile iliyokunyoa 2-0
 
Unai Leo kazingua

Kikosi chetu tunakijua ukipanga hachomokagi MTU

Anatupangia jenko mwingereza fala,na muarabu kati

Yaani Unai Leo kaonesha udhaifu mkubwa sana

Halafu kuna li mustafi limeuza mechi ,watu wanapambana lenyewe linauza mechi
Kwa kweli leo kazingua sana.
 
Arsenal had a month off in March. The players should be able to handle a busy run in. It’s about points on the board, and Wolves away is now the most important game of the season. Emery needs to get his selection right. Mustafi & Elneny have proved they cannot be trusted. #ARSCRY
 
Back
Top Bottom