Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani wageni wanataka kuondoka kwenda kuvunja matanga kule jukwaa la manure ..mpka sasa hamjatoa ratiba ya mazishi ni lini hichi kimarehemu kinazikwa. Au mnasubiri Wolves waje kibabe kuvunja matanga.? hahahhahahahHaha
 
Sasa we jamaa kwani kocha wako leo kapanga wachezaji wa cardiff city?

Si ni wa arsenal kabisa?, kama ni wabovu , inamaanisha timu ni mbovu.

Mngekuwa na timu nzuri sasa hivi mgekuwa mnafukuzana na liverpool na Man city.

Spurs -67points -michezo 34
Arsenal-66points-michezo 34
Chelsea-66points- michezo 34
Man u -64points- michezo 34

Hizi timu nne zote viwango vyao vinapishana kidogo.
Kwangu mimi zote ni timu mbovu.
Yeye anajiona ana kikosi kizuuuurii ..kumbe ana group tu la wachezaji ..tena vile vya paundi kumi kumi...

Yuko wap Dennis Suarez...hahahahaha
 
Msijali wakuu,kazenii mechi zilizobaki mbaki hapo kwenye top4....Hawa Man4 asahiv hawana cha kupoteza Maana ticket ya top4 washaipoteza na kuna uwezekano hata Europe wakaipoteza wakifanya mas-hara
Labda wakaze makalio ..wakilegeza ndo ivo ..wauni wanapita tuu ...bahahaahaha

Mbwa mwitu hulaga hadi mifupa...
 
Back
Top Bottom