Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Au labda anawanyari wolves.....coz ni wednesday tu hapo
sureArsenal had a month off in March. The players should be able to handle a busy run in. It’s about points on the board, and Wolves away is now the most important game of the season. Emery needs to get his selection right. Mustafi & Elneny have proved they cannot be trusted. #ARSCRY
Pia ingawa ni mechi ya kawaida, 8la ni derby! Angeipa uzito.Leo katuvua nguo
Kikos anakijua kabisa kikipangwa haponi MTU,
Yeye anakuja na kina jenko, neny ,mustafi
Sisi huwa hatupigi ramli ..huwa tunaongea kitu kinachoonekana ..ile fixture yenu ilionekana kuwa nyepesi sana kiasi kwamba mulijipa uhakika wa kukamata nafasi ya tatu ..sasa naona mambo hayaendi kama yalivyopangwa .Endelea kupiga ramli...
Kwani leo walikuwa wapi? Apo golini leo alidaka Xhaka nini...Kwa kipa pazia kepa uchukue Europa ? Kina lacazette wanakuwa wapi?
Kwan kuna kipa hafungwi? Kwanza Leo Leno kaokoa nyingi ,sababu ya upuuz WA mustafi ,angekuwa kepa tungepigwa 6Kwani leo walikuwa wapi? Apo golini leo alidaka Xhaka nini...
Ni kweli mumeshindaaa saiv mnaelekea kuchukua ubingwaa..Leo ni muhimu sana tushinde ili tuwe na uhakika wa top 4.
Uzuri namba 5 na 6 ni za Chelsea na man uSisi huwa hatupigi ramli ..huwa tunaongea kitu kinachoonekana ..ile fixture yenu ilionekana kuwa nyepesi sana kiasi kwamba mulijipa uhakika wa kukamata nafasi ya tatu ..sasa naona mambo hayaendi kama yalivyopangwa .
tuimbe Niue mama Niue x2 ..Niue mama Niuex2
Hahahaha pigs mbuzi nyieeee hahahaTushinde tu.
Tusiwaangalie wengine watatuchelewesha
Wewe acha kelele kwan timu lako lipo nafas ya ngapiNi kweli mumeshindaaa saiv mnaelekea kuchukua ubingwaa..
ulifaa kujibu baada ya mechi ya napoli unajibu leo....unadhihirisha ukiazi....Sisi huwa hatupigi ramli ..huwa tunaongea kitu kinachoonekana ..ile fixture yenu ilionekana kuwa nyepesi sana kiasi kwamba mulijipa uhakika wa kukamata nafasi ya tatu ..sasa naona mambo hayaendi kama yalivyopangwa .
tuimbe Niue mama Niue x2 ..Niue mama Niuex2
atakuwa keshajifunza leo....nasubir mechi ya wolves...Uzuri namba 5 na 6 ni za Chelsea na man u
Upangaji mbovu wa kikosi WA Leo sidhan kama utajirudia tena kwa mech zilizobak
Tatizo Unai mbishi amerudia kosa tena Mkuu.atakuwa keshajifunza leo....nasubir mechi ya wolves...
kule france alikuwa akiweka nje key players anashinda 3,4 ila huku anatakiwa ajue mambo ni tofauti...mechi yeyote panga squad matata ubebe alama tatu unajuaje hiyo next match ngumu kama utapata matokeo ugenini? ukisuluhu je? hope atakuwa kapata somo....Tatizo Unai mbishi amerudia kosa tena Mkuu.
Ni kweli mumeshindaaaaaaAlisema Leo atafanya rotation ,sababu ya jtano kuna wolves
Ila kwakuwa tupo home naiman twaweza kushinda tu bila shida
Lt11 yupo sub ana injury ndogo
Wauwe sasaaTushindwe sisi tu leo...
Ntawaua wakifungwa walahi...