Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 824
- 133
Heheheh kesho tutasikia baadhi ya watu wanatangaza ubingwa. Naona mshafunga magoli ya mechi zenu tatu zijazo.
Unatutangazia wewe au?...ngoja tununuwe beki, mtaona...........
Full time
Arsenal 6 - 0 Blackpool