Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kumbe wewe ni manyumbu,

Mm baada ya game nine analyse nikaendelea kuchek nusu fainal fa cup,

Sasa wewe manyumbu mtaa wa 6 ,unachonga nn badala utulie,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kunywa maji uendelee kupumzika mkuu,bado hali yako si nzuri.
 
Ningewapa ushindi wa moja moja kumbe wangenichania mkeka wangu hawa mbwa! Sasa njia nyeupe kwa Man United kuingia top 4.
 
Arsenane amefungwa na kikongwe
Screenshot_2019-04-08-09-19-57.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafas ya 6 ni manyua hiyo mpaka ligi iishe

Usichokijua Leo arsenal kapoteza kwakuwa midfield first eleven hazikuwepo zote

Sasa jifariji wakati una man city, na mnakutana na nduguyo cheltako

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
City namkalisha, akijitahidi sana anadraw

Chelsea namkalisha vizuri tu

Arsenane ni kama mbwa koko tu, akiwa nyumbani anabweka sana akiwa kwa watu anaufyata mkia

Huwezi toka ugenini kwa Wolves, Watford, Leicester wala Burnley. Kwenye hizo mechi Arsenane akijitahidi sana anapata points 4

Hapo sijataja Cristal Palace ambary atakuja kwenu, hii ndio timu iliyomlamba City nyumbani, ndio timu ikiyompiga Everton goli za kutosha

Kwa timu gani wewe manyumbu ushinde

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
We jamaa mbona ninaemuona anachezaga DM ni Xhaka bana na sio Torreira

Huwa naaangalia sana mechi za Arsenal na nimeona Mateo na Xhaka ndio wanaweza kumaliza Tackles(DM inawafaa kuliko Torreira). Torreira uwezo wake mdogo kwenye kukaba sema ana uwezo mkubwa kuchezesha timu na hakabiki
Ina depend na mfumo ,kwenye 4-2-3-1

DM huwa ni toreira na ndio anafanya vzr sana ,

Wewe umemuona toreira akicheza CM baada ya kuchange kwenda 4-3-3 na 3-4-3 ndio xhaka au Matteo wanacheza DM ,na toka alipopata adhabu DM wanacheza xhaka na matteo

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Back
Top Bottom