Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu bwana kwenye thread yetu hatupumui.

Huwezi amini zile replies 107k katika thread yetu nusu ni za AROON
Kwani msimamo hamjui kuwa mwisho wa siku mnaelekea futuhi?

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Next stop (away matches)

Watford

Wolves

Burnley

Lazima game mbili au zote mdondoshe points hapa

Wazee wa sita bora

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafas ya 6 ni manyua hiyo mpaka ligi iishe

Usichokijua Leo arsenal kapoteza kwakuwa midfield first eleven hazikuwepo zote

Sasa jifariji wakati una man city, na mnakutana na nduguyo cheltako

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Hapo kwa Wolves tia tick tayari washapoteza
Mm nawataka mpaka mwisho wa msimu tuone nan anaenda futuhi

Nitakuja kufukua makaburi

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Jamaa anakeraga huyu... Mda wote yupo kule kwetu ila leo kakimbia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nawakera ,sasa ombea msiende futuhi,

Halafu mm sikiambiagi nipo muda wote,

Una siku wiki moja ya kukenua,

Baada ya hapo unaenda namba 6 au 5 mtagawana na mwenzako manyua

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Mm nawataka mpaka mwisho wa msimu tuone nan anaenda futuhi

Nitakuja kufukua makaburi

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Haahaa Arsenyeto tayari ashabook ticket yake ya futuh, hilo halina mjadala
Everton 1:0 Arsenyeto
 
Hapo haonekani tena mpaka siku ya game yetu na Barca. Atakuja kutufanyia fujo huyu hutoamini kama alifungwa na Everton.
Kumbe wewe ni manyumbu,

Mm baada ya game nine analyse nikaendelea kuchek nusu fainal fa cup,

Sasa wewe manyumbu mtaa wa 6 ,unachonga nn badala utulie,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Mimi nina wasiwssi sana na Palace, naona hapo napo watadondosha point.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unashindwa kuwa na wasiwasi na timu lako bovu lipo namba 6, unawasiwasi na arsenal ambayo itamaliza nafas ya 3?

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Nafas ya 6 ni manyua hiyo mpaka ligi iishe

Usichokijua Leo arsenal kapoteza kwakuwa midfield first eleven hazikuwepo zote

Sasa jifariji wakati una man city, na mnakutana na nduguyo cheltako

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Zilienda wapi? Hao waliocheza leo ni misukule? Unatafuta tu visababu visivyo na mashiko
 
Hata Torreira mwenyewe hana uwezo mkubwa wa kukaba, hapo wanaoweza kukaba ni Xhaka na Gouendouzzi tu
Kwanini unasema hivo, hiyo ndio kazi yake kukaba, Matteo hawez, na lt11 akiwepo ,xhaka anacheza namba 8

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Unashindwa kuwa na wasiwasi na timu lako bovu lipo namba 6, unawasiwasi na arsenal ambayo itamaliza nafas ya 3?

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Bado tu unaendelea kupiga domo
 
Hatuna mpango wa kushinda hiyo mech unayolazimisha tushinde. Huo mpango hatuna na top 4 tutaingia..wew utaona
Kila MTU apambane kivyake au sio, hiyo mechi mkipigwa namba 4 hamuingii

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Halafu kwa performance hii ndio wanajifariji wataingia top four
Poor arsenyeto
Poor manyumbu

Wewe kwa performance IPI utaingia top4

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
hichi kimtu na kitimu chake cha kuunga unga na kenyewe kanataka kuingia uefa msimu ujao..hahaha si kitendo cha aibu kabisa hichi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambia nafas ya 5-6 ni yako

Kama huamini subir baada ya mechi 2

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Kwanini unasema hivo, hiyo ndio kazi yake kukaba, Matteo hawez, na lt11 akiwepo ,xhaka anacheza namba 8

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba

We jamaa mbona ninaemuona anachezaga DM ni Xhaka bana na sio Torreira

Huwa naaangalia sana mechi za Arsenal na nimeona Mateo na Xhaka ndio wanaweza kumaliza Tackles(DM inawafaa kuliko Torreira). Torreira uwezo wake mdogo kwenye kukaba sema ana uwezo mkubwa kuchezesha timu na hakabiki
 
Back
Top Bottom