Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ahaha yan mkuu ligi ya mwaka huu kweny vita ya top 4 ni hatar sana.....kama hapa tayr mahesab yanabadilika tena
Hayabadiliki hata kidogo,

Kumbuka wewe una man city, una mwenzako Chelsea, una Everton, una westham

Msijifariji

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Xhaka majeruhi,tuache lawama

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mkuu nimekueleza kabisa Özil ni mbovu...

Yani kama ni komando basi komando asie weza hata kunyonga mtu, komando wa mbinu moja au mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal halisi tusife moyo,kumaliza top4 ni lazima.

Sio top 4, nafas ya 3 kabisa

Lt11 adhabu yake imeisha Leo,

Next match atakuwepo, xhaka pia atakuwa amerejea

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Sasa hivi wachezaj wote Arsenal wanajua kitu gani tunakitafuta uwanjan! I hope tutashinda game

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Wewe domokaya.
Bila shaka umeona timu yako ilivyooza, wewe kazi kupiga mdomo tu na top four msimu huu mtaisikia kwenye bomba
 
Hayabadiliki hata kidogo,

Kumbuka wewe una man city, una mwenzako Chelsea, una Everton, una westham

Msijifariji

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Haaahaa domokaya
 
Mkuu nimekueleza kabisa Özil ni mbovu...

Yani kama ni komando basi komando asie weza hata kunyonga mtu, komando wa mbinu moja au mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Ozil siku hiz anajitahid, kwa Leo usimlaumu, kukosekana kwa solid midfield imetugharimu,

Xhaka ,LT11, hawapo, ikabid waanze Matteo na neny ,ambao hawakabi Bali wanakaa na mipira , na neny sio mnyumbulifu kupeleka mipira mbele ili kina ozil waconvert,

Nadhan katika game zilizokuwa zimebak ,hii na ya wolves ndio zilikuwa game ngumu,

Back
Top Bottom