Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG_5106.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ozil siku hiz anajitahid, kwa Leo usimlaumu, kukosekana kwa solid midfield imetugharimu,

Xhaka ,LT11, hawapo, ikabid waanze Matteo na neny ,ambao hawakabi Bali wanakaa na mipira , na neny sio mnyumbulifu kupeleka mipira mbele ili kina ozil waconvert,

Nadhan katika game zilizokuwa zimebak ,hii na ya wolves ndio zilikuwa game ngumu,



'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.ā€ David Alaba


Hata Torreira mwenyewe hana uwezo mkubwa wa kukaba, hapo wanaoweza kukaba ni Xhaka na Gouendouzzi tu
 
Back
Top Bottom