Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hayabadiliki hata kidogo,

Kumbuka wewe una man city, una mwenzako Chelsea, una Everton, una westham

Msijifariji

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Teh teh
 
Upo nafas ya ngapi kwanza timu yako, maana usije kuwa upo namba 6,unabwabwaja tu hapa

Kama ni cheltako , una point 9 lazima uziteme

Sasa endelea kuropoka

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Welcome to
images%20(14).jpeg
 
MKUU KIPORO CHAKO KIMECHACHA, ANAKUSHINDA HATA SIMBA VIPORO VYOTE ANACHACHUA..
Kwa sasa kuanza kwa elneny na Guendouzi kwenye midfielder sina shaka nao kwan hata pre-season imecheza sana iyo combo na aina ya mpira unachezwa na kukaa sana na mpira eneo la kati kati ambako kwa game za ugenini kukaa na mpira kunapunguza sana joto la wenyeji. Kati kubwa watakuwa nayo ozil mikhitaryan maana wao ndio wanatakiwa kuingia shimoni pale kati kati na kuinyanyua mipira kwenda nayo mbele kwa haraka!

Uku zile wingback zetu zikiwa zinapenya kuelekea mbele wkt wakina ozil wanawapokea midfielder mipira!

Kwa sasa wachezaj wetu wanahutaji kukusanya point tu hakina kingine!

Guendouzi na Elneny

Hawa viungo watabaka kwenye nafasi lkn watatumia mda mwingi kucheza mpira, ninavyojua mm kwa ufahamu wangu mdgo ni kwamba timu ya arsenal haina mtu anaefanya kazi ya kukaba ila timu inavopeteza mpira wachezaj wote wanageuka wakabaji na ndio maana inafika wkt laccazete ana pata kadi ya njano amefanya faulu nyuma kbsa. Wkt xhaka anatoka hata kadi hana.

Kwenye jambo hili la kutokuwa na Mkabaji kpnd cha unai Emery nime prove hapa

Timu ikimkosa Torreira inashinda
Timu ikimkosa ramsey inashinda
Timu ikimkosa xhaka inashinda
Timu ikimkosa Guendouzi inashinda
Timu ikimkosa elneny inashinda.View attachment 1065042

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom