lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,198
- 28,080
Pale EPL hakuna timu rahisi kuizuia kama Chelsea, ukizuia hazard asipate mipira kazi imeisha.
Kapoteza na Tottenham, Juventus..OK, nambie man utd akiwa OT mwaka huu amepoteza michezo mingapi na ameshinda michezo mingapi ili ku-validate kauli yako kuwa OT ni kiwanja rahisi kupata matokea!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikupiga nne bila, nilikupiga Moja bila, umebahatika kudraw mbili-mbili ..hizi ni EPL tu..Hebu nikumbushe mkuu,mechi ya kwanza hapo darajani ulinifunga ngapi?
Wewe wasema.Pale EPL hakuna timu rahisi kuizuia kama Chelsea, ukizuia hazard asipate mipira kazi imeisha.
Nilikupiga nne bila, nilikupiga Moja bila, umebahatika kudraw mbili-mbili ..hizi ni EPL tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndie uliyebahatika maana hukuja kushinda Bali kutafuta draw. Yani kwa ufupi ulikuja kuzuia usifungwe goli nyingi na hatimaye ulifanikiwa.Aliyebahatika kusuluhu ni mimi au wewe mkuu,hebu jaribu kuwa mkweli,motoni pabaya,au niwaite Bournemouth ndio utasema ukweli?
Bounamouth atakukalisha pia.We jamaa kumbe unamuogopa Bournemouth hivyo ,kisa kakufunga wewe unazani atafunga timu zote.
Kwa taarifa yako sasa Man u kashachukua points zote 6 kwa huyo mbabe wako. Yaani points 6 na GD 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Maybe next season, this season tumeshamalizana nae , nakuchukua points 6
Wewe ndie uliyebahatika maana hukuja kushinda Bali kutafuta draw. Yani kwa ufupi ulikuja kuzuia usifungwe goli nyingi na hatimaye ulifanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
What I predicted about referee ndo kimeonekana. Referee kutoa magoli ya utata ni shida. Ukweli Atinkson hakuwa sawa.




Acha tu, yani sijui tunakosea wapi!.. Kocha alitupa matumaini sana mwanzoni.Daah safi cuz, japo tunachekwa sana siku hizi.
FA ROUND YA PILI TUMEPANGWA NA MANYUMBU
WANAKUJA EMIRATESView attachment 989080
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaonea huruma kwa kuwa hata ubingwa hamtaupata maana mtapoteana vibaya.Wabovu naona jana mmekesha kwenye uzi wetu!
Tunawakaribisha tena kwa mara ngingine baada ya hapa katikati kupotea kusikojulikana naona sisi kutoa suluhu mbili kumewaibua kwenye mahandaki mmesahau vipigo vyenyu vya 5, 4, 3..
![]()
Na wewe tulikugawiae eti?Hichi kitimu ni cha kuwaga point tu.
Man city atajipigia atakavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana na hali yako mkuu,city anakupumulia.....Wabovu naona jana mmekesha kwenye uzi wetu!
Tunawakaribisha tena kwa mara ngingine baada ya hapa katikati kupotea kusikojulikana naona sisi kutoa suluhu mbili kumewaibua kwenye mahandaki mmesahau vipigo vyenyu vya 5, 4, 3..
![]()
Unai ameambiwa kama anahitaji kufanya usajili wa maana katika dirisha lijalo basi apunguze waliopo ili kupunguza matumizi ya mishahara hewa......
CECH,WELBECK,LICHTSTEINER,RAMSEY hatutakuwa nao next season
Lakini pia club inacheck offer nzuri ili iwauze MUSTAFI,ELNENY,MIKHITARYAN,OZIL.....
NACHO nae ndio anamaliziamalizia
So hili likifanikiwa basi Unai atatengeneza timu aitakayo lakini asitegemee cash money kutoka kwa mabosi...inasemekana jamaa pesa watakayotoa haitozidi £50m
Sent using Jamii Forums mobile app