Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Of course Arsenal tunajua machungu mnayopitia maana timu za jiji la Manchester huwa zinawabamizaga sana.

Sasa ili kurudisha furaha yenu, next wikiend tutafanya maajabu pale etihad. Kama ilivyo leo, Aguero vs Arsenal ndivyo itakavyokuwa Higuain vs Man city.

Pamoja na wale fans kindak ndak wa looserfool, tunajua itakuwa ni furaha sana kwenu kwa sisi The bluez kushinda.

Sisi huwa tunagawa ubingwa tu, hata Leicester tulimpa ubingwa baada ya kumzuia Tottenham...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha Mbwembwe Huna Uwezo wa Kumfunga City Etihad.

Nakuhakikishia unaenda kupigwa 3 mzuka
 
Mkuu naona umepata fahamu,pole kwa yaliyokukuta. Bournemouth hawana adabu kabisa.
Yaaaaan huyi jamaa alipotea/disappear toka mid ame reappear Jana......
anyway allahmdulillah tunashukuru yu wa khari ana afya njemaaa, maaana tulikuwa tunawaza kazimia tu au kapitiliza 1*1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida mnabana sana bajeti...Wachezaji kula hawali...ni maji tu ya dasani mda wote hlf ndy mtegemee kumfunga city aliyeingia garama na kikosi chake...kikosi ni mikopo tu ipo....mishahara ni kama nauli ya dar to Arusha hlf mtake matokeo kiurahis..haipo hiyo
 
Back
Top Bottom