Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,143
Poleni
Unawabebesha mzigo mkubwa sana.
Barca nawasubiri Manure Urinated, ntawanyeshea ya kutosha tu. Ole wenu tukutane
Defense is a major problem, Kolasinac anakaa sana mbele anasahau majukumu yake nyuma
Unatusubiri wapi robo fainali au.Barca nawasubiri Manure Urinated, ntawanyeshea ya kutosha tu. Ole wenu tukutane
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mechi mmepigwa bana kwa upangaji huu wa kikosi
Hivi Iwobi ndio wa kumuweka benchi Ozil? Hapa ushindi wenu draw ila mpira dk 90 tutafunga mahesabu baadae
Acha unoko Kiongozi..!!!
Mkuu sio unoko. Ni kweli ni goli tatu, na ni kweli kafunga Aguero. Unoko uko wapi sasa.Acha unoko Kiongozi..!!!
Mapenzi ya unai na iwobi yananikumbusha mbali sana
Unayakumbuka mapenzi ya Wenger na sanogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaah..!Mkuu sio unoko. Ni kweli ni goli tatu, na ni kweli kafunga Aguero. Unoko uko wapi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Refs ni binadamu kama wewe chief...Siku zote waamzi hutuharibia game na mam city na kuwapa ushindi wa bure. Goli la aguero ni shida yaani mkono lakin referee kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ubahili ni manunuzi mabovuIt's just a bad day for the lads, inachukua mda kutengeneza timu. Shida kubwa ya timu hii ni ubahili..
Maisha yetu tunayajua wenyewe. Hatubabaishwi na yeyote tunaenda city kutafuta point 3 marefa wachezeshe game fair siyo akina sterling wanajiangusha kisenge senge refa anaweka tuta mara kazidi hakuna offside goli tunapigwa magoli ya kihuni.
Game inaisha mchezaji anahojiwa anasema hata maamzi ya referee yamesaidia kupata point tatu kwetu.
Ila tutawaonesha kuwa sisi siyo watoto wa mama kudadadadeki moto utawaka![]()
![]()
.
Sent using Jamii Forums mobile app