mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
Hichi kitimu ni cha kuwaga point tu.Asenyeto mmeshaondolewa top four
Kwani tulipelekwa na nani. Naona unapata shida kwa mambo yasiyokuhusu.Asenyeto mmeshaondolewa top four
Umeandika pumbaKwani tulipelekwa na nani. Naona unapata shida kwa mambo yasiyokuhusu.
Arsenal itabaki kuwa arsenal maana ilikuwepo hata kabla ya wewe kuwepo na babu yako na ikafanya vizuri ndiyo maana leo wewe unaizungumzia.
Arsenal ina njia zake za kufanikiwa ktk soka na itazipitia hizo kufanikiwa na hatutegemei matokeo ya game moja tu bali tunategemea matokeo yote kwa ujumla na ndiyo maana tunashinda na kupoteza kama tulivyokufunga wewe na tukapoteza kwingine.
Kinachowasumbua ninyi ni uhamaji holela wa timu zetu hamna makao maalumu.
We are the GUNNERS forever.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hichi kitimu ni cha kuwaga point tu.
Man city atajipigia atakavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulizoandika awali. Nadhani hupendi kujibiwa ukweli kwa kuwa akili yako inaamini upande mmoja kama akili za mataahira hujui kuwa mambo yanabadilika.
Arsenal haiwezi kumshunda man city kwa mpira labda kwa MANENOThis is Arsenal the Gunners! The Only record breaker wa Unbeaten. Leo nipo upande wenu nawaunga Mkono kwa nguvu zote, tafadhali nipigieni huyo Pep.
Mna world Class players wengi ambao ni game changers, Laca, Auba, Ozil.
Please let's make it happen, Msituangushe hata kama mtapata draw it's Ok.. lakini muhimu msifungwe.
Come On the Gunners....![]()
Kuna haja ya update jamii forumn kufanyika tuwe na uwezo wa kudelete Comment kwenye app yako waliangalie hili kama ilivyo whatsupp