Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na utabaki hapo hapo other wise utaendelea kushuka zaidi. Bado una gemu na City, Liver, Chelsea Bonamouth ..Arsenal amekipiga na hao wote..

Wewe bado halali yako ni nafasi ya sita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaandikaga hivi halafu nikishawachakaza wote utasema nimebahatisha.

Hao wote nimecheza nao kwao,wanakuja pale nyumbani,kama unavyojua hapo wasiwasi upo kwa Bournemouth tu,zilizobaki nanyuka tu. Ila City naweza kumfikiria ili liver asiwe bingwa.
 
Bwahaha ..mpira ungekuwa mrahisi ivyo mungebeba makombe miaka ya yote.

Ninyi bado hamna kikosi cha kuisimamisha Chelsea au Liverpool au Man city..

Apo OT shamba la bibi tunachukua point tatu safi kabisa.

Pamoja na ubovu wetu wote ule lakini chelsea aliitafuta sare pale darajani.......chelsea anakuja ot....liverpool ot....city ot......
 
Kucheza OT haimaanishi kuwa huwezi fungwa.

Kama Sir Alex Ferguson alifungwa ndani ya OT basi mwengine yeyote anaweza kufungwa ndani ya OT.
 
Hahahaha wanaona OT kama uwanja usiofungika wakati ni miongoni mwa viwanja virahisi sana apo EPL.

Enzi za Alex Fargie tumejipigia apo sasa uyu Ole na mpira wake wa kuunga unga...

Sent using Jamii Forums mobile app
OK, nambie man utd akiwa OT mwaka huu amepoteza michezo mingapi na ameshinda michezo mingapi ili ku-validate kauli yako kuwa OT ni kiwanja rahisi kupata matokea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaandikaga hivi halafu nikishawachakaza wote utasema nimebahatisha.

Hao wote nimecheza nao kwao,wanakuja pale nyumbani,kama unavyojua hapo wasiwasi upo kwa Bournemouth tu,zilizobaki nanyuka tu. Ila City naweza kumfikiria ili liver asiwe bingwa.
Dah! wewe utakua mjumbe wa Kamati ya Roho Mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na utabaki hapo hapo other wise utaendelea kushuka zaidi. Bado una gemu na City, Liver, Chelsea Bonamouth ..Arsenal amekipiga na hao wote..

Wewe bado halali yako ni nafasi ya sita.

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa kumbe unamuogopa Bournemouth hivyo ,kisa kakufunga wewe unazani atafunga timu zote.

Kwa taarifa yako sasa Man u kashachukua points zote 6 kwa huyo mbabe wako. Yaani points 6 na GD 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom