Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

NilianA kusoma thread kwa umakini mkubwa. Baada ya kuona inazungumzia mipira nimeacha
 
Hii ndio Arsenal tunayoifahamu miaka yote

Arsenal ni tawi letu rubaman unalifahamu hili
IMG_20190126_082956.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiuliza tena? Ndio ni #UnaiOut kwasababu zifuatazo:-
- Jeuri/Ukorofi
Hapa utamuona muispanyiora akilazimisha kumtumia Matteo Guendouzi (19) na kuonyesha kuridhika na kumuamini ilhali uchezaji wake unamapungufu yanayo igharamu timu. Unnecessary moves akiwa uwanjani, sehemu ya kutoa pasi ana dribble kija ananyanganywa. Sehemu ya ku-poses anampatia mpira adui, wakati wa mashambulizi anapoza mpira nakurudisha nyuma why? Flexibility, Credibility, Auto-motions, Physicality na Creativity zero lakini #UnaiOut bado anampatia nafasi kijana huyu ambaye angelikuwa Arsenal U23 Academy.

- Kutomtumia Ozil
Dunia hii (Earth) katika soko la sasa playmakers wanahesabiwa ni wachache na Özil ni mmoja kati yao. Creativity aliyonayo Mesut sio mtu wakutopagwa, huyu Mturuki ana-Vision macho yake ni eagle anaona in two dimensions kama Karishniakov Rifles. Jikumbushe goli la Aubameyang majuma 3 yaliyopita alikuwa assisted na Kolašinać lakini pre-assist (penetration pass) iliyozunguka kama interchange alifanywa na yeye. #UnaiOut haelewi hilo anamuweka chini huu ni upuuzi.

- Substitution zisizo sahihi
Ukiangalia vizuri mchezo dhidi Manchester United baada ya kuumia Lolo Koscielny anamuingiza Matteo tajwa hapo juu na inside turf ana-drop Granit 'Infinite' Xhaka central defense acheze na Skhodran Mustafi huku right back akiwepo Maitland-Niles na left back Sead Kolašinać bila kujiuliza nani atasimama kama beki? Ilhali Xhaka ni CAM (Center Attacking Midfielder), Mustafi amenunuliwa Valencia alipokuwa akicheza DM (Defensive Midfielder) na occasionally Side Back, Deutschland Nation team, Kolašinać winger back (yeye yupo kati na kati) Niles ame-graduate kama CM au RW kwa maana hiyo back four walikuwa ni viungo (Midfielders) nani wakumsaidia mwenzake? Hivyo hivyo kwa muda mrefu tumeshuhudia wakati tukimuhitaji Lacazzette alikuwa akimtoa ama kutomuanzisha Vs (Liverpool, Crystal Palace, Southampton, Huddersfield Town etc.) #UnaiOut anathibitisha jeuri/ukorofi wake kwa uwazi kabisaa.

- Kutofahamu fulani acheze wapi na kwa wakati UPI.
Umetulia zako ghafla kikosi kimetangazwa Torreira na Xhaka katikati ya uwanja Yes! Vizuri lakini Torreira yupo juu ya Xhaka ooh unatamani kufa. Xhaka anayo asili ya uchezeshaji na Torreira ukabaji na #UnaiOut anawapa majukumu uwanjani vice versa damn #UnaiOut unaferi nakwambia utapoteza kibarua mapema we subiri.

- Chokochoko, Fyokofyoko
#UnaiOut ujue nimekufuatilia toka Sevilla na PSG! Huyu #UnaiOut akiwa PSG alileta matabaka ndani ya timu akimuanzisha Neymar Junior dos Santos, Edinson Cavani, Thiago Silva, Thiago Motta, Hatem Ben Arfa na Sirigu kwa madai baadhi ya wachezaji wanaoutovu wa nidhamu na wengine sio machaguo yake, enhe? Alifyekelewa mbaaali. Ndio hayo kayaleta Arsenal.

#OnceAGunnerAlwaysAGunner #WeAreTheArsenal
#UnaiOut #KroenkeOut
Duuuuu mashabiki wa mipira Ni wanafiki hatari. Siku ile Guendouzi amemkaba hazard mbona mlimsifia Sana Ni kiungo hatari uingereza. Leo imekuaje Tena.

Muaminini tu dogo yupo pouwa na yule mwenzake.... Torrera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So far United ndio timu iliyoshinda mara nyingi zaidi dhidi ya Arsenal pale Emirates (mara 6)

So far Arsenal ilikuwa haijapigwa Emirates msimu huu na timu yoyote, jana United kamnyoosha

Tunapowaambia Arsenal ni sawa na mtalaka wa United, na United akitaka mambo muda wowote anapewa muwe mnatuelewa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom