radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Unamlaumu nini mwenzio wakat kwako ulipigania droo?? Makocha wako walikimbia uwanja mzima kama ligi imeisha kumbe ni mechi ya 10 tu usiombe unaswe na manchester united ulisubir hadi dakika ya 96 na sekunde kadhaa huko ulishakufaNyie takataka hamna kitu kabisa. Najiuliza hivi mulitupigaje mbili.? Uko nyumbani unakazwa bao tatu..!!
Kweli sasa Arsenal umekuwa mke halali wa Man united, nimeamin hata Man u iwe mbovu kiasi gani wewe huwezi shinda mbele yake..
Yani mnaiaibisha London, ña bado una gemu naye tena apo apo emirates ..kama kawaida utafurukuta lakin baadae utalainika..
Pumbavu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app