Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila mtu ana uzur na udhaifu wake, sven ni mgomvi sana,

Kila timu huwa hapatan na makocha ,

Monch yeye soko lake ni america sana,

Hivo akija tarajia kuziona sura za wabrazil ,sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai hilo Kila mtu na madhaifu yake hiyo ila nadhani ugomvi huo ni sababu ya kusimamia kile anachokiamin hata Mimi Nina upungufu huo. Ila kwa takwimu sven Ni bora kuliko mjomba monchi, ila tuache muda uzungumze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DAH NILIKUA NA MASHAKA NA HUYU JAMAA ANAEHUSISHWA KUJA KUMRITHI SVEN MISLITANTS ANAITWA RAMON RODRIGUEZ VERDEJO AL MAARUFU KAMA MONCHI LAKINI BAADA YA KUANGALIA SAJILI ZAKE ZIMEFANYA VIZURI DUNIANI KULIKO SAJILI ZA SVEN MISLITANTS

HIZI HAPA NI BAADHI YA SAJILI ALIZOWAI KUZIFANYA

JOSE ANTONIO REYES from YOUTH TEAM akamuuza ARSENAL
..
DANIEL ALVES from BAHIA akamuuza kwa BARCELONA
..
JULIO BAPTISTA from SAO PAOLO akamuuza REAL MADRID
..
ADRIANO from CORITIBA akamuuza BARCELONA
..
FEDERICO FAZIO from FERRO CARRIL akamuuza TOTTENHAM
..
CHRISTIAN POULSEN from SCHALKE 04 akamuuza JUVENTUS
..
SEYDOU KEITA from LENS akamuuza BARCELONA
..
IVAN RAKITIC from SCHALKE 04 akamuuza BARCELONA
..
ALEIX VIDAL from ALMERIA akamuuza BARCELONA
..
JESUS NAVAS from YOUTH TEAM akamuuza MAN CITY
..
ALBERTO MORENO from YOUTH TEAM akamuuza LIVERPOOL
..
SERGIO RAMOS from YOUTH TEAM akamuuza REAL MADRID
..
ALVARO NEGREDO from RAEL MADRID akamuuza MAN CITY
..
MOHAMMED SALAH from EL MIKAWLON akamuuza FC BASEL

Ukiangalia sajili hizi utaheshimu uwezo wa huyu mtu

WAZUNGU WAMEMPACHIKA JINA WANAMUITA "THE TRANSFER WIZARD"

IKIWA NA MAANA JAMAA NI MCHAWI KWENYE USAJILI

ifahamike SVEN MISLITANTS anaondoka kwasababu hana maelewano mazuri na UNAI EMERY

#COYGView attachment 1003591

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu tuombe awe na wakati mzuri akiwa nasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Mashetani wapigwe tu maana hamna namna ila wasiwasi wangu ni huyo dogo wenu wa RB halafu kibaya zaidi huo ni upande mbaya sana akiwekwa mtu mbovu
 
Back
Top Bottom