rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Arsenal kinachotufungisha vs Manchester United ni psychology zaidi kuliko mpira wenyewe. Tunakuwa tumefungwa kabla hatujakanyaga uwanja. Hatutashinda mechi vs Man Utd hadi tutakapo overcome hii hurdle. Inaelekea wachezaji wanakamia au kugwaya pindi wachezapo na hii timu.
