Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna uwezekano dili likafa kwa sababu Arsenal wanataka kutoa £ 15m mwisho wa msimu wamsajili moja kwa moja. Barca wanataka £ 20m lakini Arsenal wanagoma kutoa 20 mwisho wa msimu. Kuna mvutano na huenda dili likafa ingawa Unai Emery amekiri wazi kwamba Arsenal ni lazima waingie sokoni kusajili wachezaji wapya dirisha hili...


Barcelona and Arsenal break off negotiations over Denis Suarez (Mundo Deportivo) Barcelona and Arsenal break off negotiations over Denis Suarez (Mundo Deportivo)| All Football

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emery asije akawa kama Wenger tukaishia kwenye tetesi mwisho wa siku atuambie tuna wachezaji wa kutosha
 
Ifike muda sasa Unai ajilipue kama ilivyo kuwa kwa Van gal.

Nakumbuka Van gal alipo ona wakina RVP na Roney hawana msaada akaamua kuwaibua wakina Rashford.

Kama ameweza kumsajiri na kumuamini Guadouz kwanini asifos kuwaamini wakina Saka!!?

Nakumbuka mwaka ambao Sagna ameondoka na Debuch akapata injury huku Jenko nae akiwa wodini bado ndo hapo Wenger alipo muibua Belle

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba hiyo Nafasi anayocheza Saka ndo Ina mapungufu? Unapowaamin Akina Gunduz na kutokuamini Ozil na Ramsay uoni kua una matatizo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Ramon Rodriguez Verdejo, akiwa na A.k.A yake kama Monchi* ....huyu ni nani??????


Huyu ni mchezaji wa zaman wa sevilla ambaye ameataafu mwaka 1999 akiwa sevilla na kupewa kazi kama staff member mnamo mwaka 2000......


Mnamo mwaka 2001 alipandishwa cheo na kuwa moja ya wakurugenzi wa mpira ndani ya sevilla ambapo amehudumu apo Hispania kwa miaka 17 yaani kutoka 2000 -2017 .


Akiwa ndani ya sevilla akihudumu kama sports director *monchi* ameweza kusimamia au kusaidia kufanyika kwa usajili wa wachezaji nguli ulimwenguni na wale wa kawaida ila hapa acha nikuwekee wachezaji wachache kama tu ukihitaji zaidi ntakuongezea .....

*1*: *Dan alves*...huyu n mbrazil namba mbili bora aliyekuja ulaya kupitia mikono ya monchi na kutua sevilla.

*2:Julio bapista*

*3:Luis Fabiano*

*4:Federico Fazio*

*5:Alvaro negledo*

*6:Garry medel*

*7:Ever banega*

*8:kondogbia*

*9:Ivan ractic*

*10:Kelvin germeiro*

*11:Carlos barca*

*12:Jesus navas*

*13:Olsen*

*14:coric*

*15:julien escude*

*16: nzonzi*

*17:kanoute*

Kwa haraka wanakuja hawa hapa

Mnamo mwaka 2017 Manchester united ,Roma na Barcelona walitangaza nia ya kumtaka huyu MTU ila Roma wakachanga karata zao na kumchukua ....na adi Leo naandika hapa ni mkurugenzi pale Rome .

*monchi akiwa Roma* ameweza kufanikisha usajili wa watu kama 12 ila wengi hawafahamiki maana hawana namba ya kucheza pale labda tunaweza kusema ni future use people ila usajili wake mkubwa Roma naweza sema kuwa ni kumsajili *Justin kluivert* ambaye kaingia moja kwa moja kwenye kikosi na golikipa mswedeni ambaye aliingia moja kwa moja ndani ya kikosi.

Akiwa Roma monchi wameondoka watu kama Allison, salah ,Naigolan,strootman kwa uchache .....ila wapo wengi ambao sjawataja hapa maana najaribu kuonyesha keys na utendaji kazi wa huyu MTU.

Amefeli wapi??

Failure zake n nyingi sana kama mwanadamu ila failure inayoendelea kushika vichwa adi Leo ni kushindwa usajili wa *Malcolm* kutoka bourdex ambao ilikuwa ukamilike ndani ya lisaa limoja na ukavunjwa mchezaji akaenda Barcelona......... .

*mafanikio*

Kama ilivyokuwa kwa mascout na madirector wengi mafanikio yao huwa sio makombe ila huwa tunawapima kutokana na uwezo wa kusajili, kuibua na kuuza na pesa inayotumika ......kwa hapa hesabu zinamlinda monchi maana amekuwa akisajili kwa pesa ndogo na kuuza kwa faida kitu ambacho ndo kinatakiwa ndani ya arsenal.

Swali ni je ataweza kukaa miaka mingi arsenal kama alivyokaa sevilla????

Aaron ZE GANAZ
Kwa arsenal yetu sven alikuwa anahitajika zaidi nadhani kwa takwimu ni bora kuliko monchi.. kwangu ni Dani alves, rakitic, ever banega, kanoute labda na nzonzi ndio bora kwangu na si mvumbuzi kivile sababu wengi tayar walikuwa wameshakuwa maarufu kabla hajawabeba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa arsenal yetu sven alikuwa anahitajika zaidi nadhani kwa takwimu ni bora kuliko monchi.. kwangu ni Dani alves, rakitic, ever banega, kanoute labda na nzonzi ndio bora kwangu na si mvumbuzi kivile sababu wengi tayar walikuwa wameshakuwa maarufu kabla hajawabeba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu ana uzur na udhaifu wake, sven ni mgomvi sana,

Kila timu huwa hapatan na makocha ,

Monch yeye soko lake ni america sana,

Hivo akija tarajia kuziona sura za wabrazil ,sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
According to The Times, Torreira has been in & out of the team recently because Emery had medical concerns about the player getting injured.
worldofarsenal_-20190124-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
DAH NILIKUA NA MASHAKA NA HUYU JAMAA ANAEHUSISHWA KUJA KUMRITHI SVEN MISLITANTS ANAITWA RAMON RODRIGUEZ VERDEJO AL MAARUFU KAMA MONCHI LAKINI BAADA YA KUANGALIA SAJILI ZAKE ZIMEFANYA VIZURI DUNIANI KULIKO SAJILI ZA SVEN MISLITANTS

HIZI HAPA NI BAADHI YA SAJILI ALIZOWAI KUZIFANYA

JOSE ANTONIO REYES from YOUTH TEAM akamuuza ARSENAL
..
DANIEL ALVES from BAHIA akamuuza kwa BARCELONA
..
JULIO BAPTISTA from SAO PAOLO akamuuza REAL MADRID
..
ADRIANO from CORITIBA akamuuza BARCELONA
..
FEDERICO FAZIO from FERRO CARRIL akamuuza TOTTENHAM
..
CHRISTIAN POULSEN from SCHALKE 04 akamuuza JUVENTUS
..
SEYDOU KEITA from LENS akamuuza BARCELONA
..
IVAN RAKITIC from SCHALKE 04 akamuuza BARCELONA
..
ALEIX VIDAL from ALMERIA akamuuza BARCELONA
..
JESUS NAVAS from YOUTH TEAM akamuuza MAN CITY
..
ALBERTO MORENO from YOUTH TEAM akamuuza LIVERPOOL
..
SERGIO RAMOS from YOUTH TEAM akamuuza REAL MADRID
..
ALVARO NEGREDO from RAEL MADRID akamuuza MAN CITY
..
MOHAMMED SALAH from EL MIKAWLON akamuuza FC BASEL

Ukiangalia sajili hizi utaheshimu uwezo wa huyu mtu

WAZUNGU WAMEMPACHIKA JINA WANAMUITA "THE TRANSFER WIZARD"

IKIWA NA MAANA JAMAA NI MCHAWI KWENYE USAJILI

ifahamike SVEN MISLITANTS anaondoka kwasababu hana maelewano mazuri na UNAI EMERY

#COYG
FB_IMG_1548338822864.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Mirror claim Monchi is ready to move to #Arsenal in the summer. The club are targeting the Spaniard to take up a newly-created role of technical director, & Monchi is keen..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nkunku alichezaga pre season gemu tuliyochezaga na psg kule singapore yeye ndo alifunga lile goli moja la psg alitusumbua sana ile gemu..ni mzuri inshort ana spidi, dribble, na anachezesha timu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom