Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unai aombe tushinde hii game tofauti na hapo atakua kalizua yeye mwenyewe aiseeee.

Matokeo yalionekana mapema tu kua hatuwezi kushinda,Unai ana matatizo ambayo akiendeleza basi tuna majanga uko mbele.
Niliwahi kusema umu ila kuna mtu akanikomalia kua najifanya najua kuliko Unai ila ingawa vitu vingine viko wazi sana anapanga timu kibwege sana anasahau hii ni EPL haitaki majaribio na leo tumepigwa kwa mapenzi ya Unai.
 
Tajiri mwenyewe mbahili kusajili

Arsenal wameshafikaga hadi kwenye turnover ya 400 million pounds lakini Usajili wa Hovyo sijui tatizo ni nini hadi kuzidiwa na timu kama Liverpool kwenye kufanya usajili ilihali Liverpool hajawahi fika kwenye kipato cha pounds milioni 400
Kweli mkuu hapo ni kuvunja Bank tu ili kuwa mbabe kwenye soka hata aje PEP kwa kikosi hiki bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale Arsenal Wanapowaza kuingia Top Four

IMG_20181215_090058.jpg
 
Matokeo yalionekana mapema tu kua hatuwezi kushinda,Unai ana matatizo ambayo akiendeleza basi tuna majanga uko mbele.
Niliwahi kusema umu ila kuna mtu akanikomalia kua najifanya najua kuliko Unai ila ingawa vitu vingine viko wazi sana anapanga timu kibwege sana anasahau hii ni EPL haitaki majaribio na leo tumepigwa kwa mapenzi ya Unai.
Line up ina shida gani Auba,Lacazette,Torreira,Guendozi,Kolasinac wote wamecheza ?
 
Line up ina shida gani Auba,Lacazette,Torreira,Guendozi,Kolasinac wote wamecheza ?

Rudi kaangalie comment yangu baada ya mdau kuweka starting XI,alafu nionyeshe Torreira pale yaani Niles,Iwobi na Guendouz wanaanza wakati Ramsey na Torreira wako benchi alafu analeta beaf na Ozil ambae analeta balance kwenye kiungo duh narudia tena kabla ya mechi nilisema kaangalie tu kua Unai analizua.
 
Back
Top Bottom