Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kweli mkuu hapo ni kuvunja Bank tu ili kuwa mbabe kwenye soka hata aje PEP kwa kikosi hiki bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app


True mkuu nikongea kiukweli pale mbele hawana watu wa kupindua meza kama upangaji ndio huu, Yaani nikicheki hawa jamaa inatakiwa wapange watu wote wanne yaani Ramsey piga ua inabidi awe anaanza Left wing, Auba Right wing , Tisa Lacazette halafu namba 10 nyuma ya striker Ozil hakwepeki

Halafu beki inatakiwa wasajili tu Backup ya Bellerin hamna na anahitajika partner wa kucheza na Rob Holding hao wagiriki wawili naona kama majanga tu
 
Back
Top Bottom