Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi nyinyi Arsenal-Fanboys munajua kuwa Aliyeassist goli la Jana la West Ham ni Samir Nasr?
 
DullyJr na wenzako,ndiyo soka kaeni nyuma ya Unai anajenga team!
Arsenal mtakuwa wazuri sana baadae atafanya usajili wake
Poleni sana na hamna haja yyt ya kuanza kutukana wachezaji wenu wala kocha

Sent from my iPhone using JamiiForums
sisi bado tupo pamoja na bado tunampa nafasi Unai ya kujenga kikosi chake.....hapa wachawi ni mabosi wa timu hawataki kufungua pochi na huku wakitegemea BIG RESULTS NOW hahahaha itatubidi tusubiri sana naamini siku haya manduli yanauza hisa pale gunners hatutachukua misimu 3 tutabeba kila aina ya kombe............yaani wanakufa watu wema wabaya wanabaki ,sasa kulikuwa kuna haja gani ya yule tajiri wa leicester kwenda kurest in piece si bora angeenda S.Kroenke ili watu wa soka waje pale maana kale kajamaa kapo kama nkurunzinza.............mara mia ya Dangotte kuliko huyu mpuuzi yaani haka kajamaa kamegoma kutoa hata senti maninerr
 
Mimi arsenal ije mvua lije jua tuko katika mpito tutakaa sawaa tuuu wana arsenal jitokezeni tuone tunakosea wapi hata wachezaji naona hawana morali

Tazizo hata wachezaji wako kama wanasukumwa
 
Maisha bila unafiki hayaendi hii Arsenal hii kuna mchezaji wa kumpiga benchi OZIL kweli kwa nafasi anayocheza ........... UNAI usimpotezee muda OZIL bana.
 
Ozil hata mechi ya west ham hawezi kucheza?

Yeah ni Tactical reason kwa mujibu wa Emery Ozil sio Tactical player au kwa lugha fupi Ozil ni kiazi anachoelekezwa na anachoenda fanya ni hasi na chanya
 
Kwamba madrid alikocheza na german wanamakocha wapuuzi?
 
Yeah ni Tactical reason kwa mujibu wa Emery Ozil sio Tactical player au kwa lugha fupi Ozil ni kiazi anachoelekezwa na anachoenda fanya ni hasi na chanya
Acheni masikhara ozil mchezaji sema emery hajui jins ya kumtumia ka dili na akina iwobi...ni mpuuzi tu
 
IMG_2959.JPG
Granit Xhaka has now made more errors leading to goals in the Premier League (5) than any other outfield player since the start of last season.

Awful clearance.
 
Zile point 8 mlizomuacha Manchester United naona zimekwisha sasa Kila mtu atarudi kwenye nafasi yake alioizoea soon
 
Tuangalie mbele, haya mapito tu ya muda mfupi,

Bado namuamini kocha ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa huu Upangaji Mbovu wa kikosi Imani Imepotea,. Kocha Astuki kua Kuna vichezaji Vyake anavyovipenda Vinamuangusha,

Yaani hakuna Plan B Timu Yoyote Inayokua Na Plan ya kutukabia juu Lazima itupige na kutunyanya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aluta hio bado hatujatoka kwenyebio za big 4 mpaka wiki ijayo mambo ni faya ozil atakipiga belle nae karudi so itakua poa
 
Back
Top Bottom