Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mkuu povu lote la nini?panbana na tu yako nyie watu mnakera sana,leo yamewakuta mnajitia kutia huruma,mbwa au mbuzi wala sio tusi ni tafsiri yako,probided kwamba hao bibe tunaishi nao majumbani sioni kama ulitakiwa kukasirika kiaso hicho..
 
Mike oliver ashukuriwe kwa kuwabeba hawa livakuku

Sent using Jamii Forums mobile app

Vipi mzee Wa TORREIRA na AUBA?

Naona Firmino kamgeuze Kondoo TORREIRA 😀 😀 anamlisha nyasi bila ya huruma 😀😀

Eti TORREIRA ni kiungo bora EPL !!!! Arsenal bhana 😀😀

Nadhani Firmino ameshawapa jibu kuwa TORREIRA is shit.
 
Don’t ever Compare Torreira to N’Golo Kante ever again. Ever.
Kumlinganisha KANTE na TORRORI ni dhambi kwa mungu mkuu

Hawa ushabiki uliwazid ndo maana wakafikia hatua hiyo

Sasa jana kalikua kana ogelea kwenye makwapa ya FAB kalichoka kakaanza kukabia kichwa mipira ya chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupoteza moja haimfanyi mchezaji awe mbovu huyo torreira hapo liver hakuna kiungo wa kumfananisha nae Auba nae yuko level ya magoli na salaah so unabwabwaja nini
 
Haya Magoli ya Kijeuri bhana! Yanaudhi kwelikweli 😀😀
Yani anawafunga Arsenal hata golini haangalii!!!

 
mkuu povu lote la nini?panbana na tu yako nyie watu mnakera sana,leo yamewakuta mnajitia kutia huruma,mbwa au mbuzi wala sio tusi ni tafsiri yako,probided kwamba hao bibe tunaishi nao majumbani sioni kama ulitakiwa kukasirika kiaso hicho..
Unatakiwa umquote aliyekutukana hiyo si lugha ya binadamu.
Liverpool mmekaa nje ya top 4kwa muda mrefu mkihangaika na timu sasa leo ushindi wenu ndo matusi hayo halafu tukae kimya tu tusilalamike.Hatuhitaji kuonewa huruma na mtu kwasababu haya ni mambo ya kawaida lakn ukweli mdomo wa matusi hayo hatuhitaji kuweni na hekima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lucas Torreira attempted more tackles (5) than any other Arsenal player in the first half against Liverpool.

He did not win a single one. 😳
 
umenifurahisha kuna jamaa angu katoka kuwa mshabiki wa man u kahamia liverpool mwaka jana,nikamwambia atakuwa amevunja record ya dunia mshabiki atoke man u ahamie liverpool
 
Arsenal without possession 4-4-2, with possession almost like (2-2-2-4) 2 CBs, 2 Holding Midfielders, 2 wide attacking players come narrow and 2 fbs push up with Ramsey, Aubameyang in the box. Meaning of this entire story (lots of spaces on wide areas) for LFC's transitions
 
After the game, our head coach held his post-match press conference - and here's what he said.
on if we struggled to keep pace with Liverpool after we took the lead…
Good evening. Yes, maybe. The result is one [reason] like you are telling us after our goal. I think we started well, but after our goal, they pushed, and when they push here, they play with great determination and with players who can make a difference all over the pitch. They scored three quick goals and it was a difficult moment for us. We spoke in the dressing room - it’s another experience for us. A bad experience but an experience to learn from. In the second half we needed to stand up, to keep our position individually and collectively on the game. The two last goals, two penalties, I think it’s a lot for us. I think VAR is important - it’s coming next year, because I think it’s going to help the referees to take better decisions. We only can think now of the match on Tuesday and know the difference between Liverpool and us was not like today’s result. Maybe we can do one balance, one mix between our draw and this result today. We have a lot of work to do, defensively also, we know we need to get better.
on if he thought the penalties were fouls…
The result is clear. It’s not for the referee. There were some positives on the pitch - for example Ainsley played as right winger and scored, working well. Also Iwobi, after some matches not playing very well, today he played 90 minutes with a good performance. But defensively we need to be stronger, to work. Our defensive moments in our box, it’s my responsibility and then we need the balance. We need to keep the balance in the middle. We lost today 5-1, we need to keep the balance in the middle, be serious and continue on Tuesday with a big match at the Emirates. We need to show our supporters there we are standing up after the result.
on if Ozil is injured…
Yes.
on if it’s serious…
His knee. I don’t know if it’s big or not big, but it’s his knee.

 
umenifurahisha kuna jamaa angu katoka kuwa mshabiki wa man u kahamia liverpool mwaka jana,nikamwambia atakuwa amevunja record ya dunia mshabiki atoke man u ahamie liverpool
HAO MAGLORY HUNTER MKUU,HUWAGA WANA SLOGAN YAO MOJA INASEMA "TIMU SIO KABILA"

HAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAAHAHAHAH HAWAJUI FOOTBALL INA MATOKEO YAKE
 
umenifurahisha kuna jamaa angu katoka kuwa mshabiki wa man u kahamia liverpool mwaka jana,nikamwambia atakuwa amevunja record ya dunia mshabiki atoke man u ahamie liverpool

Hii inawezekana Tanzania tu tena kwa shabiki asiyejua historia ya EPL


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…