Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu mupo?,naona mwaendeleza jukwaa,safi sana...haya mambo ya kutangaza nia yanatufanya tuwe mbali na mtandao..tutakuwa pamoja soon.Ligi yakaribia kuanza,kila la heri wakuu wangu akina Masanilo,AW,mmbebabox,ELNINO,De Novo,Kweli,Manda,Belo,Sand Matuta,Peasant,Wacha,mpemba Abdulhalim,Baba Mkubwa,Mpiga Filimbi,Ng'wanza Madaso.
 
Ngosha unagombea wapi??lol

Kijiwe wapenda soka kitachanganya soon..Mr. Bean na watoto wake kama kawa watafulia.
 
Wakuu mupo?,naona mwaendeleza jukwaa,safi sana...haya mambo ya kutangaza nia yanatufanya tuwe mbali na mtandao..tutakuwa pamoja soon.Ligi yakaribia kuanza,kila la heri wakuu wangu akina Masanilo,AW,mmbebabox,ELNINO,De Novo,Kweli,Manda,Belo,Sand Matuta,Peasant,Wacha,mpemba Abdulhalim,Baba Mkubwa,Mpiga Filimbi,Ng'wanza Madaso.

Tupo pamoja, Bala, Babamkubwa, Wacha, AW na gunners wote, muda bado upo ila naona kule kwa akina Belo wamefulia kimtindo, Glaziers wanafuta madeni na babu AF ameshakubali matokeo, na huku jirani kwa akina Masanilo na Peasant naona nako Mrusi Credit crunch imemkamata pabaya, naona itabidi wabaki kutegemea pensioners wao akina Drogba, Anelka na Kalou. Mzee mwenzangu MTM naona wameshajikubalia nafasi yao ni Europa league, So far kama Fabregas atabaki tunahitaji kipa wa nguvu kumaliza jig-saw, nina mategemeo makubwa mwaka huu.
 
Mkuu tupo pamoja japo nilipata ajali mbaya sana mwezi wa tano,ndo nimerudi naendeleza matibabu.
 
ROBIN VAN PERSIE will wear Arsenal's No10 shirt next season.

The Dutchman has been handed the top William Gallas vacated after he left the club last month.
Van Persie follows in the footsteps of his compatriot and Gunners legend Dennis Bergkamp, who wore the

No10 during his time with the Londoners.

Mexican starlet Carlos Vela has been given Van Persie's old No11 shirt.

AND

EDUARDO is on the verge of a £6million move from Arsenal to Shakhtar Donetsk.

The Gunners striker will leave the Emirates in the next 48 hours after taking advice from Croatia boss Slaven Bilic.

He agreed terms for the move on Sunday after six days of negotiations and passed a medical yesterday.

Mkuu tupo pamoja japo nilipata ajali mbaya sana mwezi wa tano,ndo nimerudi naendeleza matibabu.

pole sana mkuu,tunashukuru mungu unaendelea vizuri na nakuombea upone haraka hili uweze kuendelea na shughuli zako za kila siku.

karibu tena kwenye jukwaa letu.
 
[B [/B]

AND

EDUARDO is on the verge of a £6million move from Arsenal to Shakhtar Donetsk.

The Gunners striker will leave the Emirates in the next 48 hours after taking advice from Croatia boss Slaven Bilic.

He agreed terms for the move on Sunday after six days of negotiations and passed a medical yesterday.

namuonea sana huruma eduardo kushindwa kurudi kwenye kiwango chake cha mwanzo kabla ya kuumia.ningependa habaki lakini kutokana na fomu yake kuwa chini na sheria mpya ya kiwango cha wachezaji.

namtakia kila la kheri huko anapo kwenda.
 
Tupo pamoja, Bala, Babamkubwa, Wacha, AW na gunners wote, muda bado upo ila naona kule kwa akina Belo wamefulia kimtindo, Glaziers wanafuta madeni na babu AF ameshakubali matokeo, na huku jirani kwa akina Masanilo na Peasant naona nako Mrusi Credit crunch imemkamata pabaya, naona itabidi wabaki kutegemea pensioners wao akina Drogba, Anelka na Kalou. Mzee mwenzangu MTM naona wameshajikubalia nafasi yao ni Europa league, So far kama Fabregas atabaki tunahitaji kipa wa nguvu kumaliza jig-saw, nina mategemeo makubwa mwaka huu.

Mwaka huu mnapotea kabisaaaaaaa
 
Wasaalaaam watani!
Kitambo sana sijakatisha humu ndani. Nilikuwa likizo kidogo ya JF!....hope mda wa sisi kuongea lugha moja humu ndani unakaribia.
Kila la kheri!
 
arsenal bado,hamjaingia ktk ushindani na timu kama chelsea na man utd,gombanieni nafasi na kina man city na spurs ndio saizi zenu kwa sasa,mnahitaji muwe na kiungo mkabaji na mwenye nguvu,sio kina diaby,hata song nae,anacehza sana mpira wa kiafrika,fabregas mzuri tatizo hana nguvu na hana msaidizi kama ilivyo spain ktk national timu,arsenal ukiwachezea mchezo wa nguvu basi wanakuwa laini ndio chelsea na man utd zinawafungia hicho,kina clichy mzuri nguvu hamna,gallas kawa galasa,mchezaji ni vermaleon,kina walcott nae walewale no nguvu.
 
Soka la miguvu lishapitwa na wakati ndio maana hata kwenye World cup mwaka huu kina England, France, Italy walipata vichapo vya haja huku Spain, Uruguay, Germany na Holland zikipita maana wanacheza kwa mbinu na akili sio miguvu. Man U na Chelsea mwaka huu hamuambulii kitu subiri uone moto wa the Gunners vijana wa kugusa na kuteleza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom