Soka la miguvu lishapitwa na wakati ndio maana hata kwenye World cup mwaka huu kina England, France, Italy walipata vichapo vya haja huku Spain, Uruguay, Germany na Holland zikipita maana wanacheza kwa mbinu na akili sio miguvu. Man U na Chelsea mwaka huu hamuambulii kitu subiri uone moto wa the Gunners vijana wa kugusa na kuteleza
Dah pole sana mkuu, tupo pamoja na Mungu atakupa nguvu za ku-recover haraka, meanwhile.........i Man Citeh wanamnyemelea Drogba! naona bado kutakuwa na twist and turn kabla ya msimu kuanza! yetu macho.Mkuu tupo pamoja japo nilipata ajali mbaya sana mwezi wa tano,ndo nimerudi naendeleza matibabu.
Mkuu tupo pamoja japo nilipata ajali mbaya sana mwezi wa tano,ndo nimerudi naendeleza matibabu.
Ndogo?...duh, upo aisee? long tym!
...£6m tu...dah!
Ndogo?
Goalkeepers
Defenders
Midfielders
- 3
BacarySagna
- 5
ThomasVermaelen
- 6
LaurentKoscielny *****mpya!*****
- 20
JohanDjourou
- 22
GaelClichy
- 28
KieranGibbs
- 30
ArmandTraore
- 31
SolCampbell
Strikers
- 2
AbouDiaby
- 4
CescFabregas
- 7
TomasRosicky
- 8
SamirNasri
- 15
Denilson
- 16
AaronRamsey
- 17
AlexSong
- 19
JackWilshere
- 23
AndreyArshavin
- 27
EmmanuelEboue
- 10
Robinvan Persie
- 11
CarlosVela
- 14
TheoWalcott
- 29
MarouaneChamakh *****mpya!*****
- 52
NicklasBendtn
...duh, upo aisee? long tym!
aaaah, acha tu mkuu. Tatizo linapokuja suala la kununua wachezaji Arsene atasema pesa hazikutosha. Mpaka sasa GALLAS, SILVESTRE, SENDEROS, EDUARDO, ndio weshaaga hao. kumbukumbu yangu inaonyesha tumenunua wapya wawili tu!
Hehehe nipo mkuu, vipi naona baada ya msimu kuisha ukaingia mitini au uko likizo?
Huyo Eduardo mbona mumemuuza kwa bei poa?
We'll be among the leaders for few months (nguvu ya soda), around October/November most of our key players will be out for 2 weeks to 2 months due to injuries (as usual). In my opinion the team to beat is still Chelsea although there is a possibility that MANCITY will be able to challenge them for the top spot.
spain ya zamani ilikuwa kama arsenal ukicheza mpira wa kutumia ubavu rafu unawafunga,ila sasa nao wanajua kucheza mpira wa fujo,ronaldo ulimuona jinsi alivyokuwa anachezewa kibabe na sergio busquets,mpira wa reyes chenga nyingi ulikwisha kwa rafu za phil na gary neville mechi ya man utd vs arsenal,chenga twawala huwezi kumfunga ujerumani au hata england,inabidi chakula,spain ina alonso,busquets na xavi,ndio mana fabregas alikuwa benchi 7bu mojawapo hana nguvu kama hao niliowataja juu au hata kwa iniesta,kwa staili hiyo arsenal itafungwa daima na timu za chelsea na man utdSoka la miguvu lishapitwa na wakati ndio maana hata kwenye World cup mwaka huu kina England, France, Italy walipata vichapo vya haja huku Spain, Uruguay, Germany na Holland zikipita maana wanacheza kwa mbinu na akili sio miguvu. Man U na Chelsea mwaka huu hamuambulii kitu subiri uone moto wa the Gunners vijana wa kugusa na kuteleza
...ha ha, yap...nilichukua likizo jukwaa la Sports na Starehe. Sikuwa mshabiki wa timu yoyote World Cup. France waliniangusha bana.
Tunarudi sasa kwa Ari zaidi, Nguvu zaidi, kasi Zaidi... kama JK vile hehehehe....
...dah, msimu uliopita ulitabiri the worse ikatokea kweli, sasa unaanza tena..aaaah!
Wapi 'Paul the Octopus' jamani,
najiskia kama nichukue likizo msimu mzima kutoishabikia Arsenal kwa mtaji huu.
Wazi hii ni Preemtive measure, ngoja nitume pm kwa Wacha1 arudi likizo, matusi yameanza sasa, wanawaogopa noisy neighbour Citeh na ile welcome to manchester Tevez bado imewabamba, sasa wamerukia kwetu daah, ila hii ni ishara ya uwoga labda wanachungulia nafasi ya 5 mwaka huu, kule kwetu dizaini hii tunawaita "nguvu-mdomo" wanatawaliwa na hofu Citeh ameshawapa indicator anawa-overtake....hehehehe....mnaanza sasa, mzee wa mapicha Wacha1 akirudi likizo hapatakalika hapa!