Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,882
...aheim!... vipi wakulu wa Imarati, salama lakini?...likizo inakaribia kwisha, tutakuwa pamoja very soon.
Nikitoka nje ya mstari kidooogo, hivi Tanzania tuna Gundu nini?...
Ivory Coast walikuja kujipima nguvu kabla ya Africa Cup na Taifa Stars, wakaahidi wakitwaa ubingwa wa CAF watakipeleka kikombe Kilimanjaro,...wakabwagwa puuuu,...chini!
Brazil nao walikuja jipima nguvu na Taifa Stars, nao leo puuu wamebwagwa chini... kwa wenye mioyo midogo ibn toboa tobo, tunaona hii si bure...kuna walakini. Kujipima Nguvu na Taifa Stars ni kujitia nukhsi tu!...
Back to the nyuzi ibn nyuzi.... Hivi kuna mchezaji wa Manure au Chelsea aliyebakia kwenye World cup wajameni? maana walikuwa kelele miiiiingi eti wamejaa England team,... England yenyewe mdebwedo kitu. Anyway,....nilikuwa na beep tu. Bado nipo likizo
Together we stand!