Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Fact


Arsenal Direct | Offers, Promotions, Sales, Gifts, Special Offers
Hebu achen lawama, kocha amchezeshe nani sasa, au hujui CB beki zote majeruhi ?Na game ya leo tunaharibu coz nimeshakiona kikosi, nina waswas nae huyu kocha, Xhaha huwezi kumchezesha beki
Na game ya leo tunaharibu coz nimeshakiona kikosi, nina waswas nae huyu kocha, Xhaha huwezi kumchezesha beki
It's true huwezi kumchezesha Granit pale mechi iiyopita alifanya hovyo sana bora ElnenyHebu achen lawama, kocha amchezeshe nani sasa, au hujui CB beki zote majeruhi ?
Ngoja tuone,Hakika, sioni combination ya Gundeouz na Torreira kama ina mashiko.
Ni kweli, lkn jumapil tuna burney , EPL, hivo bora hao ambao hawana fitness awaweke bench,It's true huwezi kumchezesha Granit pale mechi iiyopita alifanya hovyo sana bora Elneny
Ngoja tuone,
That's too late decision hii ni robo Mkuu tunamechi moja tu tugombanie kombeNi kweli, lkn jumapil tuna burney , EPL, hivo bora hao ambao hawana fitness awaweke bench,
But namuamin UNAI , akiona haifanyi kazi hiyo back line, tarajia 2nd half kumuona xhaka kati, na neny akiingia kama CB
Ni kweli, but ukosefu wa mabeki nao ulichangia,Hiyo ilishabuma zamani, hakuna match yenye hiyo combo tumecheza vizuri. Hata match ya So'ton mimi naona tatizo lilikuwa hapo. Mabeki ni kafara tu
Mimi huwa napenda kumuachia kocha afanye kazi yake, coz yy ndio anashinda na wachezaji, anajua kuhusu fitness yao, kwa mech husika ,That's too late decision hii ni robo Mkuu tunamechi moja tu tugombanie kombe
Na game ya leo tunaharibu coz nimeshakiona kikosi, nina waswas nae huyu kocha, Xhaha huwezi kumchezesha beki
Watu hawaelewi hiki kitu, kocha sio mjinga anajua nini anafanyaHakuna mkoba kwa sasa na Xhaka ndie anaweza kucheza hapo kama cover.
Watu hawaelewi hiki kitu, kocha sio mjinga anajua nini anafanya
Nimeona hiki kituArsenal inaanza game na back four lakini mtindo ni 3-4-2-1