Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,555
mkuu hile post niliwaekea washabiki wenzangu wa Arsenal na wewe hii yako ingekuwa vizuri ungeweka kwenye jukwaa lenu la Chelsea.
Hii mkuu nimekuwekea wewe usije ona kuwa mko juu!
mkuu hile post niliwaekea washabiki wenzangu wa Arsenal na wewe hii yako ingekuwa vizuri ungeweka kwenye jukwaa lenu la Chelsea.
ha ha ha umejibu mapigo mkuu mie najua kama mnawachezaji wengi tu.Hii mkuu nimekuwekea wewe usije ona kuwa mko juu!
ha ha ha umejibu mapigo mkuu mie najua kama mnawachezaji wengi tu.
Umesikia Liverpool? Fukuzeni Wenger na nyie hahahahahahahahhh
Wenger nafasi aliomalizia anaweza kujitetea ukiangalia na majeruhi aliokuwa nayo,huyu Benitez nafasi yake noma hile watu hawawezi kumuelewa kabisa.
Wazee wa Arsenal mnaugonjwa wa kupenda! Miaka yote hiyo bila kombe? To my view Benitez is better than Wenger if you consider achievements in the last six years....
Wazee wa Arsenal mnaugonjwa wa kupenda! Miaka yote hiyo bila kombe? To my view Benitez is better than Wenger if you consider achievements in the last six years....
hakuna kitu kibaya kama kumlazimisha mchezaji kubaki wakati yeye mwenyewe hataki na sidhani kama Arsenal wana nia hio.Kilichofanya bid ya barcelona kukataliwa jana kutokana na offer yao walitoa ni ndogo mil 29 kwahio waliona bora waseme hawako intrested kumuuza.
sasa kama fabregas anampango wa kuchukua option ya ku-buy out contract yake hio pound mil 28.6 Barcelona wanaweza kumlipia tu na tutakuwa tumepata hasara kubwa sana kama ana qualify kuchukua option hio.
Off course hamna haja ya kumlazimisha abaki kitu cha msingi ni kumuuza dau zuri ikiwezekana na mchezaji hao
jamaa wana wachezaji wazuri ambao watawafaa hasa Yaya Toure,
Bei ya Fabregas pauni mil 40 plus one player kama hawataki waache washangae kama Perez hajambeba
Belo Cesc ameshasema kama ni kuondoka Arsenal ni Barcelona, hii ya Madrid ni ile journalism trick, habari zimekauka kwenye hii gazeti kwa hio habari kama hii itawapa tafu kidogo kuuza nakala zaidi.Real Madrid To Hijack Barcelona's Deal For Arsenal Star Cesc Fabregas - Report
The midfielder is being contested by the two La Liga giants...
Real Madrid are trying to scupper Barcelona's move for Arsenal midfielder Cesc Fabregas, news daily Marca claims.
The Merengues' number-one transfer target to reinforce the centre of their midfield is believed to be Liverpool's Steven Gerrard, but Madrid are looking at alternatives in case they fail to land the England international.
Fabregas has been strongly tipped to leave Arsenal after seven years with the Gunners, with Barcelona having already engaged in talks with the North London club.
However, Barcelona and Arsenal have so far been unable to reach a compromise for Fabregas, and Madrid could move in quickly to offer the 23-year-old a return to his homeland.
Marca indicates that Madrid will only table a bid for Fabregas if Gerrard stays at Anfield, as new boss Jose Mourinho is understood to prefer the Liverpool captain.
Belo Cesc ameshasema kama ni kuondoka Arsenal ni Barcelona, hii ya Madrid ni ile journalism trick, habari zimekauka kwenye hii gazeti kwa hio habari kama hii itawapa tafu kidogo kuuza nakala zaidi.
kuna rumours kwamba tumemchukua Joe Cole atakuwa analipwa pound 115000 kwa wiki. tusubiri tuone kama habari za kweli manake kuna upinzani kutoka kwa spurs na man united.
wenger will never win any major title with kids, now amehamia kwa wachezaji wa mteremko, joe cole - free transfer, chamakh - free transfer, sol campbell - free transfer