Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu mbona umekaa na machine gun kushambulia siafu?

tatizo lako mkuu unapenda ligi za jabu ajabu lol.

mie timu zangu zote za africa plus France (najua ngoma yao ngumu).waliobaki nitakuwa nashangilia raha ya kandanda safi na skills za wachezaji binafsi.
 
tatizo lako mkuu unapenda ligi za jabu ajabu lol.

mie timu zangu zote za africa plus France (najua ngoma yao ngumu).waliobaki nitakuwa nashangilia raha ya kandanda safi na skills za wachezaji binafsi.

Mkubwa umekalili na kuclaim! Yaani nacheka tu hapa kwanini unahasira na mimi? I m no Capello, Walcott hafai hata reserve ya Chelsea huwa anakimbia na mpira bila malengo na akicheza na beki mzuri hes very predictable. Samahani kukukwaza
 
Kwa Afrika karata yangu nawapa Ghana............Kwa hao wakubwa nawapa Spain(Masa usiogope) na Uholanzi...........Brazil kwa mbaaaaaaaaaaaaaaaali

Argentine wanakikosi kizuri sana ila hawana kocha! LOL
 
Mkubwa umekalili na kuclaim! Yaani nacheka tu hapa kwanini unahasira na mimi? I no Capello, Walcott hafai hata reserve ya Chelsea huwa anakimbia na mpira bila malengo na akicheza na beki mzuri hes very predictable. Samahani kukukwaza

huyto dogo kila siku nasema tumenunua mbio pale dogo hana akili ya mpira na wala huitaji beki mzuri hata ukiweka mti uwanjani possibility yake 50% kujigonga kwenye mti wakati anakimbia na mpira.
 
huyto dogo kila siku nasema tumenunua mbio pale dogo hana akili ya mpira na wala huitaji beki mzuri hata ukiweka mti uwanjani possibility yake 50% kujigonga kwenye mti wakati anakimbia na mpira.

Kwa mara ya kwanza umekubaliana na mimi! Lol kamata soda ya moto bill kwangu. Nimekuzawadia Thanks ya JF
 
ha ha ha hizo zote hasira za kukosa champions league unatafuta weakness yoyote sasa utakuwa na wakati mgumu mkuu msimu ukianza.
yyani kweli kweli kabisa walcot wamem-square root na kumuacha cole na heskey?? kweli kabisa yani kweli kabisa arsenal imeshindwa kutoa hata mbeba mipira kwenye weldi kapu?
 
yyani kweli kweli kabisa walcot wamem-square root na kumuacha cole na heskey?? kweli kabisa yani kweli kabisa arsenal imeshindwa kutoa hata mbeba mipira kwenye weldi kapu?

Washabiki na wanazi wa Arsenal wanahasira sana! subiria
 
yyani kweli kweli kabisa walcot wamem-square root na kumuacha cole na heskey?? kweli kabisa yani kweli kabisa arsenal imeshindwa kutoa hata mbeba mipira kwenye weldi kapu?

Mazee...........Arsenal hawana wachezaji wengi wa Kiingereza katika 1st eleven yao ikilinganishwa na timu nyingine kama Man Utd,Chelsea,Man City na Liverpool....na hata hao Waingereza wachache waliopo ni Walcott pekee ndo huwa anacheza mara kwa mara na hata anapocheza mara nyingi hakuna lolote analofanya uwanjani zaidi ya kukimbiakibia tu na mpira.....Arsenal ina wachezaji wengi wa Kifaransa na mataifa mengine.......Ndo maana ukienda SA kuanzia June 11 utakutana na vichwa kama Eboue,Senderos,Vela,Bendtner,Song,RVP,Fabregas...................na wengine(kama watachaguliwa) akina Gallas,Diaby na Sagna

Binafsi namuunga mkono Capello kwa kumuacha Walcott.......anatakiwa asahihishe makosa yake ili aweze kucheza 2014 ama 2018........Umri unamruhusu
 
wakuu kuna world cup fantasy kama kuna wapenzi wa fantasy kama mimi,sponsors ni mcdonald zawadi kibao tu na kucheza ni free.kuanzia tarehe 4 watu ndio tunaanza kupanga wachezaji kwenye timu na pia kama tuko wengi tunaweza kuweka ligi yetu wenyewe.

McDonald's FIFA World Cup Fantasy
 
Binafsi namuunga mkono Capello kwa kumuacha Walcott.......anatakiwa asahihishe makosa yake ili aweze kucheza 2014 ama 2018........Umri unamruhusu

Walcott signed for a wrong team! He is supposed to play up the mid, Wenger has refused to do that,Kijana anacheza out of position matokeo yake anakimbia kama Kiberenge! this has cost him a place in WC in SA. General speaking Wenger has ruined Walcott
 
Kama kuna mtu anamkumbuka Sunday Juma enzi hizo Simba, hana tofauti na uchezaji wa Walcott.Mi ni mpenzi wa Arsenal lakini nakubaliana na uamuzi wa Capelo kumtosa dogo.
 
Kama kuna mtu anamkumbuka Sunday Juma enzi hizo Simba, hana tofauti na uchezaji wa Walcott.Mi ni mpenzi wa Arsenal lakini nakubaliana na uamuzi wa Capelo kumtosa dogo.

ha ha ha, duuuh....unamfananisha na "Kiberenge?" jamaa alikuwa anakimbia mpaka mpira anauacha nyuma!
ama wewe! LOL...
 
Walcott alikuwa overrated na wao media ya uingereza na sasa wao wenyewe wanamponda. The boy is just not good! He should work his way up and stop talking! Arshavin naye mdomo utamponza siku si nyingi!!
 
Bila Walcott England wasingeweza ku-qualify kwenye world cup hii. Majuto mjukuu tutawasikia watakapokuwa SA wachezaji kama Right phillips, Heskey et al wanachaguliwa kwa sababu Capelo anaogopa magazeti yatakavyosema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom