McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Arsenal 0-1 Liva
Dakika ya 61
Dakika ya 61
Endelea kupiga mwingi sio kushinda nyingi.dah hawa jamaa tunawakosaje mbona tunawapigia mwingi hivi
️Mkuu bado tunakosa magoli ya wazi sana...Sijaridhishwa na Finishing yetu kabisa...FT
Arsenal 1-1 Liva.
nafikiri sasa utakuwa umepata jibu la wasiwasi wako narudia kusema tena hawa loserfoolish wanashindaga kibahati tu hawana timu kama wanavyoipamba sasa leo hao viungo uliokuwa unawagwaya na kina lucas nani aliupiga mwingi pale .......UNAI EMERY ,UNAKUBALI KUTOKUKUBALI?
November 3 siku ya jumamosi,Arsenal itakuwa nyumbani Emirates kuwakaribisha liverpool katika mzunguko wa ligi ya EPL .Mechi hii ni ngumu kwa Arsenal na Liverpool pia na kwa mtazamo wangu mchezo wangu utaamuliwa na ubora wa viungo wa timu zote mbili .
VITA YA VIUNGO
Bila shaka Arsenal itawaanzisha XHAKA ,TORREIRA na OZIL ambao watapambana na FABINHO,HENDERSON na WINALDIUM ambapo UNAI EMERY anapaswa kujiuliza ni namna gani Lucas Torreira atamzuia Geogino Winadium ili asilete madhara ya kupeleka mipira kwa Mo salah,Sadio mane na Firminho ambao wanaweza kuleta madhara kwenye lango la Arsenal !Mashambulizi Mengi yanaanzia kwa kiungo huyu Mwenye kasi ,nguvu na ubunifu wa hali ya juu.
Ni lazima Mmoja kati ya PEA au LACCA aanzie benchi ili kuruhusu Mikh na Iwobi waanze kwa sababu njia pekee ya arsenal kushinda mchezo huu ni kuwa na wings zenye kasi ambazo zitafanya mashambuliz ya kushtukiza (counter attacks).Ni vyema Lacca akaanzia benchi ili PEA aanze kwa ajili ya kuongeza kasi akisaidiana na IWOBI NA MIKHI
Ingawa Liverpool ni bora kuliko arsenal ni vyema Unai Emery akubali kutokukubali kwamba liverpool ni bora ,na awahimize vijana wakapambane mpaka dakika ya mwisho !
Kwa mtazamo wangu
50/50View attachment 917566
hakuna cha jini wala shetani huyu torerra sio kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaLoserfool wenyewe wqmeonekana wakishindashinda kwa tabu ktk mechi za hivi karibuni so sio ya kuisifia hivyo maana msimu huu wamedrop ukilinganisha na mwaka jana...........dk 90 zitaongea kwani hao kina hendo wanashikika vzr tu.....ttz la gunnerz ni beki zinachuja kama chandarua ila viungo na washambuliaji wapo vzr....hii game GG safi kabisa weka mzigo bila shaka....
Mkuu bado tunakosa magoli ya wazi sana...Sijaridhishwa na Finishing yetu kabisa...
Timu inatengeneza nafasi sana Ila umaliziaji tatizo...
Leo Liverpool wamestahili kupata suluhu..tuliwakamata sana