Liverpool haifungiki kwa sasa, imeruhusu magoli machache sana katika ligi, japo pia hawajawa wafungaji wazuri kulinganisha na arsenal.Ufafanuzi ni mzuri lakini pia Liverpool bado ina mapungufu mengi tu hao uliowataja wanazuilika sana.
Acha masihala watu watatu tu

Jumamosi hachezi amepata red card janaIla mmojawapo ni natteo gounduz![]()
Jumamosi hachezi amepata red card jana
Loserfool wenyewe wqmeonekana wakishindashinda kwa tabu ktk mechi za hivi karibuni so sio ya kuisifia hivyo maana msimu huu wamedrop ukilinganisha na mwaka jana...........dk 90 zitaongea kwani hao kina hendo wanashikika vzr tu.....ttz la gunnerz ni beki zinachuja kama chandarua ila viungo na washambuliaji wapo vzr....hii game GG safi kabisa weka mzigo bila shaka....UNAI EMERY ,UNAKUBALI KUTOKUKUBALI?
November 3 siku ya jumamosi,Arsenal itakuwa nyumbani Emirates kuwakaribisha liverpool katika mzunguko wa ligi ya EPL .Mechi hii ni ngumu kwa Arsenal na Liverpool pia na kwa mtazamo wangu mchezo wangu utaamuliwa na ubora wa viungo wa timu zote mbili .
VITA YA VIUNGO
Bila shaka Arsenal itawaanzisha XHAKA ,TORREIRA na OZIL ambao watapambana na FABINHO,HENDERSON na WINALDIUM ambapo UNAI EMERY anapaswa kujiuliza ni namna gani Lucas Torreira atamzuia Geogino Winadium ili asilete madhara ya kupeleka mipira kwa Mo salah,Sadio mane na Firminho ambao wanaweza kuleta madhara kwenye lango la Arsenal !Mashambulizi Mengi yanaanzia kwa kiungo huyu Mwenye kasi ,nguvu na ubunifu wa hali ya juu.
Ni lazima Mmoja kati ya PEA au LACCA aanzie benchi ili kuruhusu Mikh na Iwobi waanze kwa sababu njia pekee ya arsenal kushinda mchezo huu ni kuwa na wings zenye kasi ambazo zitafanya mashambuliz ya kushtukiza (counter attacks).Ni vyema Lacca akaanzia benchi ili PEA aanze kwa ajili ya kuongeza kasi akisaidiana na IWOBI NA MIKHI
Ingawa Liverpool ni bora kuliko arsenal ni vyema Unai Emery akubali kutokukubali kwamba liverpool ni bora ,na awahimize vijana wakapambane mpaka dakika ya mwisho !
Kwa mtazamo wangu
50/50View attachment 917566
Loserfool wenyewe wqmeonekana wakishindashinda kwa tabu ktk mechi za hivi karibuni so sio ya kuisifia hivyo maana msimu huu wamedrop ukilinganisha na mwaka jana...........dk 90 zitaongea kwani hao kina hendo wanashikika vzr tu.....ttz la gunnerz ni beki zinachuja kama chandarua ila viungo na washambuliaji wapo vzr....hii game GG safi kabisa weka mzigo bila shaka....
Hahahahahahahahahahahahahahahaha sawaLoserfool wenyewe wqmeonekana wakishindashinda kwa tabu ktk mechi za hivi karibuni so sio ya kuisifia hivyo maana msimu huu wamedrop ukilinganisha na mwaka jana...........dk 90 zitaongea kwani hao kina hendo wanashikika vzr tu.....ttz la gunnerz ni beki zinachuja kama chandarua ila viungo na washambuliaji wapo vzr....hii game GG safi kabisa weka mzigo bila shaka....
Loserfool wenyewe wqmeonekana wakishindashinda kwa tabu ktk mechi za hivi karibuni so sio ya kuisifia hivyo maana msimu huu wamedrop ukilinganisha na mwaka jana ...........dk 90 zitaongea kwani hao kina hendo wanashikika vzr tu.....ttz la gunnerz ni beki zinachuja kama chandarua ila viungo na washambuliaji wapo vzr....hii game GG safi kabisa weka mzigo bila shaka....
michuano tofauti FA walishafuta izo mambo mwaka huu.....ukila waya PL unacheza vikombe kama kawa, unatumikia kadi ulipoipatia
.Majukumu yapiNimesoma sehemu kuwa Unai Emery amemwambia Laurent Koscielny atafute timu ingine kwakuwa hayupo katika mipango yake.
Inaumiza kwakweli nikikumbuka ya Jack, Ramsey na sasa Koscielny ila hakuna namna acha kocha afanye kazi na watu anaowaamini yeye kwamba watatuletea mafanikio.
Ivan Gazidis ameondoka leo rasmi kwenda Ac Milan kuanza majukumu yake mapya.
Anaenda kuwa Mtendaji mkuu (C.e.o) wa Ac Milan.Majukumu yapi
Aende tu sababu hakuwah kuwa na impact arsenalAnaenda kuwa Mtendaji mkuu (C.e.o) wa Ac Milan.
Impact anayo mkuu ikiwemo kutuletea mkataba wenye thamani kubwa na fly emirates.Aende tu sababu hakuwah kuwa na impact arsenal
Hiyo sio impact mdau labda kama umeanza kuitazama arsenal karibuni kwakifupi hana impactImpact anayo mkuu ikiwemo kutuletea mkataba wenye thamani kubwa na fly emirates.
Ni impact kaka sema inategemea unaangalia katika angle ipi kwa maana tukija kwenye mafanikio ya uwanjani hakuna kubwa alilotuletea ila financially amejitahidi kaka.Hiyo sio impact mdau labda kama umeanza kuitazama arsenal karibuni kwakifupi hana impact
Sasa kimpila sio biashara mafanikio ya mpila yanakua na Tija zaidi yakiwa nimafanikio yaliojikita kuanzia uwanjaniNi impact kaka sema inategemea unaangalia katika angle ipi kwa maana tukija kwenye mafanikio ya uwanjani hakuna kubwa alilotuletea ila financially amejitahidi kaka.
Sawa mkuu nimekubali.Sasa kimpila sio biashara mafanikio ya mpila yanakua na Tija zaidi yakiwa nimafanikio yaliojikita kuanzia uwanjani