joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,843
- 39,463
Huyu MTU tena MTU haswa yaani MTU mmoja na nusu, hii gemu tumeleta utoto kama ule wa Chelsea lkn tulikuwa tunaimaliza.
hilo namba moja ndio jambo zuri sana kulisikia masikioni mwangu lakini pia kumbuka nilikwambia kitambo sana huyu fabinho mliouziwa ni wa kuchonga lazma aflopp hapo anfieldHapa Nimekuja na Mambo Mawili Kwa Leo.
1) La Kwanza Nakiri hadharani Kuwa Torreira sio Zaizi yetu Kabisa ametusumbua! Na kwa aliyeangalia Mpira basi atakubaliana na Mimi kuwa iliyotukamata Leo si Arsenal, Bali aliyetukamata Ni Torreira manake kaibadilisha game plan yetu yote kwenye Midfield.
2) Pili kuna Madogo Flani humu Walijifanya Wanajua Sheria kuliko Raisi Wa FA pale nilipowambia Kuwa yule dogo wenu aliyepigwa Red Card game ya Carabao kutokana na Sheria za FA hatacheza Mchezo wa Leo wao Wakajifanya wanajua Mpira wakabisha Kuwa anacheza.
Nawaasa Kuwa Sisi wengine Ni wakubwa Zao tumewatangulia katika soka hawana uwezo Wa kutubishia.
Upo sahihi mkuu King ngwabaHapa Nimekuja na Mambo Mawili Kwa Leo.
1) La Kwanza Nakiri hadharani Kuwa Torreira sio Zaizi yetu Kabisa ametusumbua! Na kwa aliyeangalia Mpira basi atakubaliana na Mimi kuwa iliyotukamata Leo si Arsenal, Bali aliyetukamata Ni Torreira manake kaibadilisha game plan yetu yote kwenye Midfield.
2) Pili kuna Madogo Flani humu Walijifanya Wanajua Sheria kuliko Raisi Wa FA pale nilipowambia Kuwa yule dogo wenu aliyepigwa Red Card game ya Carabao kutokana na Sheria za FA hatacheza Mchezo wa Leo wao Wakajifanya wanajua Mpira wakabisha Kuwa anacheza.
Nawaasa Kuwa Sisi wengine Ni wakubwa Zao tumewatangulia katika soka hawana uwezo Wa kutubishia.



ingekuwa wenger hii tungelala sio chini ya goli 3 ntakuwa mchawi nisipomtaja Torreira yeye na xhaka wamechezs vzuri mno wamewaficha yule mholanzi na fabinho...mustafi solid performance leo safi sana leo katakata Bellerin katakata leo Ozil na Laca na wengine Leno wamecheza vzuri sana saves kali sana leo za Leno simwoni cech kwenye hii timu tena january tuongeze winga kwanza.Timu nzima imecheza vzuri sana Nimekuwa nikimpondaga sana Xhaka ila kiukweli leo amecheza vzuri sana amenifurahisha kila mtu kacheza vzuri...mdogo wangu Rob Holding sijui analekea level gani ya beki sio mbaya kuchukua point 1 coz liverpool nao ni timu nzuri...tuombee majeruhi wetu warudi haraka...hope tutaendeleza huu moto next games...Unai Emery bonge la kocha aiseeingekuwa wenger hii tungelala sio chini ya goli 3 ntakuwa mchawi nisipomtaja Torreira yeye na xhaka wamechezs vzuri mno wamewaficha yule mholanzi na fabinho...mustafi solid performance leo safi sana leo katakata Bellerin katakata leo Ozil na Laca na wengine Leno wamecheza vzuri sana saves kali sana leo za Leno simwoni cech kwenye hii timu tena january tuongeze winga kwanza.
Timu nzima imecheza vzuri sana Nimekuwa nikimpondaga sana Xhaka ila kiukweli leo amecheza vzuri sana amenifurahisha kila mtu kacheza vzuri...mdogo wangu Rob Holding sijui analekea level gani ya beki sio mbaya kuchukua point 1 coz liverpool nao ni timu nzuri...tuombee majeruhi wetu warudi haraka...hope tutaendeleza huu moto next games...Unai Emery bonge la kocha aiseeingekuwa wenger hii tungelala sio chini ya goli 3 ntakuwa mchawi nisipomtaja Torreira yeye na xhaka wamechezs vzuri mno wamewaficha yule mholanzi na fabinho...mustafi solid performance leo safi sana leo katakata Bellerin katakata leo Ozil na Laca na wengine Leno wamecheza vzuri sana saves kali sana leo za Leno simwoni cech kwenye hii timu tena january tuongeze winga kwanza.
huyo mtiti mwanzo mwisho ....jijibu swali lako kwa kungalia youtube then lete mrejeshoMimi siangalii game zenu kwahiyo nakuuliza huyu Torreira mechi zenu zote anacheza Kama alivyocheza Leo? Au Leo kakamia tu?
The same to me Mkuu Nilijua Leo yaleyale mpaka half time 3...Ila Leo tumeifanya Liver ionekane ni Timu ya kawaida.Unai kuna kitu ameleta kwenye timu..yani nimetoka home naenda kibandan uku nikijua leo kama sio tatu bas tunakufa kama tano
daaa arsenal leo wame nifurahisha sio kwa mpira ule mambo yalikuwa poa sana
Daaa inauma sana,,,ramsey namuelewa kinoma yani cjui hataki kutia signRamsey muhimu sana ila kutokana na kinachoendelea ni vema timu ikajengwa bila yeye,pia inaleta nidhamu kwa wachezaji wengine.
Zote anacheza hivo hivo, na ndiye anamfichia makosa xhaka ,Mimi siangalii game zenu kwahiyo nakuuliza huyu Torreira mechi zenu zote anacheza Kama alivyocheza Leo? Au Leo kakamia tu?
The same to me Mkuu Nilijua Leo yaleyale mpaka half time 3...Ila Leo tumeifanya Liver ionekane ni Timu ya kawaida.Unai kuna kitu ameleta kwenye timu..
Vijana bado wana tatizo la kutumia nafasi..Ila Liver Yule VVD ni mzuri sana ameimarisha sana defence...Angekua Lovren tungepiga 3.
Zote anacheza hivo hivo, na ndiye anamfichia makosa xhaka ,
kabisa kiongoz tim ipo kama tukipiga usajir wa vichwa kama vi3